Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Mimi nawashangaa hawa watu walimu ni wengi halafu wanaomba mara mbili yaani kila somo analofundisha, maanake maombi yanaweza fika laki 5, sasa watamudu vipi kuwafanyia interview watu laki 5?
Ninachojua watakata wengi sana na kutoa wachache kwa ajili ya usaili.
Acha uoga wewe utumishi hawajaanza kufanyiwa watu usaili leo! Wanafanya nyomi nyomi na wanafanya kwa kanda
 
Huwezi jua kila kitu mkuu wasaidie tu, hao walimu ni dada zetu, kaka zetu na wadogo zetu, wasaidie kama unao huo ufahamu na uzoefu wa kutumia system kwenye kuomba ajira
Sawa mkuu
 
Mimi nawashangaa hawa watu walimu ni wengi halafu wanaomba mara mbili yaani kila somo analofundisha, maanake maombi yanaweza fika laki 5, sasa watamudu vipi kuwafanyia interview watu laki 5?
Ninachojua watakata wengi sana na kutoa wachache kwa ajili ya usaili.
Kuna vitu wangeacha tu uko uko OR TAMISEMI
 
Wakuu samahani kwangu sion sehemu ya ku attach application letter kwenye attachment sehemu ya cover letter haipo
 
Aisee kwangu wanasema NIDA ishatumika kabla kwenye mfumo.
Sasa sikumbuki nilitumiaga email Gani wala password 🔑
the same case kwa huyu ninaye msaidia niliwatumia email jana hawajajibu ngoja niwatwangie
 
Back
Top Bottom