Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Acha uoga wewe utumishi hawajaanza kufanyiwa watu usaili leo! Wanafanya nyomi nyomi na wanafanya kwa kandaMimi nawashangaa hawa watu walimu ni wengi halafu wanaomba mara mbili yaani kila somo analofundisha, maanake maombi yanaweza fika laki 5, sasa watamudu vipi kuwafanyia interview watu laki 5?
Ninachojua watakata wengi sana na kutoa wachache kwa ajili ya usaili.