Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Lakin bado nina kigugumiz juu ya usaili. Kuna mtu kamaliza 2015 na hata sehem ya kujitolea kufundishq alikosa akaamuq kujikita kwenye bodaboda, Leo unatangaza ajira na unamuingiza kwenye usaili na Graduate wa 2023 fresh kabisaa kutoka chuo, kichwa bado cha moto. Freshers ananafasi nzuri zaidi ya kupita kwenye usaili na kupata ajira huku yule wa 2015 akiendelea kufukuza upepo
 
Hapo kwenye walimu daraja la IIIB masharti yake yatabeba wachache sana.
Hapo kwenye IIIC ni sawa lakini kwa masomo hayo hayo wapo walimu daraja IIIB nao Wanayo masomo hayo hayo yaani Fizikia, Mathematics, GEO, Kiswahili na mengineyo mbona wao hawajawa included.?
 
Hongeren walimu
 
Wakuu Habari naweza kufuta vipi account yangu ya PSRS maana kila ajira nayoomba inakataa baseman sina vigezo hata ile ambayo ninavigezo na nimesomea.msaada tafadhali
Umejaza profile yako vizuri Mkuu?

Maana inashauriwa ili uitwe kwenye interview profile yako walau ifike kuanzia asilimia 75 kwenda juu.

Ukiwa below Kuna possibility kubwa usiwe unaitwa kushiriki hizo interviews
 
Sawa
 
Ina maa
Wakuu Habari naweza kufuta vipi account yangu ya PSRS maana kila ajira nayoomba inakataa baseman sina vigezo hata ile ambayo ninavigezo na nimesomea.msaada tafadhali
Hivi na hizi za ualimu nazo zinaombwa huko ajiraportal?
 
Au sio , interview ya ualimu sijui watafanya Namna gani kuhakikisha wote wamepita kwenye mchujo 😂
Watajua tu
Sijaona kwenye tangazo kuwa kuna usaili
Kwan post zote zinazopita ajira Portal hua wanasema kutakuwa na usaili au n watu walijikuta kila post wanafanya usaili hvy wakazoea hvy, kwahy nanyi mjiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…