Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Hiyo inabaki hivyo hivyo hata ukisema uadd Cheti chochote hapo Bado inagoma kuchukuaMsaada plz. Kwann wanaandika "you haven't added any verification certificate wakati vyeti vyangu nimeverify?,nifanyaje hapo?View attachment 3052855
Ww unaonaje?Habarini wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu hii taarifa??View attachment 3052881
Hiyo ni ato massage tuu ipo hapo haina shida hiyo inaonesha tuu icho kipengele aachane nayoVerification ni kwa wale tu waliosoma nje ya nchi na vyeti vyao vikawa Verify na Nacte and TCU.
Hapo hapamuhusu.
Asante nmeelewaUlisoma nje ya nchi mkuu??
Nje ya mada, mkuu kama utakuwa na access ya Sheria ya wenye ulemavu naomba.
Naona tangazo tu mkuu,Ww unaonaje?
SawaNaona tangazo tu mkuu,
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako. Jambo jema ni kwamba nilifanikisha, nashukuru sanaUshapata ufumbuzi?
Jaribu kuweka tena, angalia na dimension pia, MB, KB zinazohitajika
Mkuu nilifanikisha. Nashukuru sana etiMkuu umepata msaada? Kama bado wacheki ict kwa email waambie tatizo lako watabadili uliyojaribu kuweka
Nilikuwa na tatizo kama lako nimewaambia wamebadilisha
Unatumia usename au password ambayo sio sahihiWoii Kila nikijaribu kuingia kwenye account inakaataa inasema incorrect login ukiendelea kuingia inakuambia temporary locked
Natumia username na password ileile niliyokua natumia sijabadili na nilifukisha 97%Unatumia usename au password ambayo sio sahihi
Haiwezekani mkuu.Samahani wakuu. Hivi nawezaje kufuta cheti kimojawapo. Nataka kuondoa cheti changu cha diploma kibaki tu cha Certificate.
That can’t happen!umeyatimba!Samahani wakuu. Hivi nawezaje kufuta cheti kimojawapo. Nataka kuondoa cheti changu cha diploma kibaki tu cha Certificate.
Unakosea lazima ! Wapigie waulizeNatumia username na password ileile niliyokua natumia sijabadili na nilifukisha 97%
Wakuu kuna mdada alijaza qualification ya diploma sasa anataka aedit atumie ya certificate ili aombe utendaji kata ila akiedit programme inakuja moja tu aliosoma yeye haiji tufanyeje
Wacheck ict@ajira.go.tzWakuu kuna mdada alijaza qualification ya diploma sasa anataka aedit atumie ya certificate ili aombe utendaji kata ila akiedit programme inakuja moja tu aliosoma yeye haiji tufanyeje