Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Hiyo inabaki hivyo hivyo hata ukisema uadd Cheti chochote hapo Bado inagoma kuchukuaMsaada plz. Kwann wanaandika "you haven't added any verification certificate wakati vyeti vyangu nimeverify?,nifanyaje hapo?View attachment 3052855