Utaitwa kwa usaili.jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Ndugu mwalimu Mafwimbo naomba nikutoe hofu hapo hakuna tatizo lolote endelea na maandalizi ya mkandojamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
kwa kesi yake hakuna tatizo na wala haitaji kwenda na hivyo vitu,maana initial S.kirefu chake kipo kuanzia cheti cha kuzaliwa mpaka NIDAUtaitwa kwa usaili.
Ila itabidi uende na deedpol au affidavit kutoka mahakamani
Mwalimu ana wasi wasi huyokwa kesi yake hakuna tatizo na wala haitaji kwenda na hivyo vitu,maana initial S.kirefu chake kipo kuanzia cheti cha kuzaliwa mpaka NIDA
huwa tunaenda na kiapo cha mahakama au deedpol kwa majina yaliyotafuti kabisa yaani mfano MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA na MAFWIMBO PAULO KAYOLA n.k hawa ni watu wawili totauti hivyo lazimw itahitajika uhende na hizo document kuthibitieha kwamba huyu ni mtu mmoja
Tafuta affidavit kuonyesha iyo S. ni ninijamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Kwa kesi yako akuna kiapo Wala Nini hupo sawa jiandae na usahili ndugu aunashida wewejamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Hakuna tatizo mkuu... Mimi huwa vyeti vyangu vyote ni majina mawili lakini nida ni matatu na nipo serikalini bila ya affidavit wala nini.jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Mkuu kwenye lesson plan na schemes of work wanaweza uliza maswali gani??? naona na pm umefunga mkuuWalimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.
Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.
Anza kusoma haya mambo👎🏽
Curriculum and syllabus
Lesson plan
Scheme of work
Teaching Aid
Teaching method
Teacher philosophy
Media and technology in teaching
Counselor and guidance in teaching
Duuu so sad! How can smart educated person repeat the same mistake so many times like this?
waaao bora umenitiia moyo, kwaiyo nilikuwa sahihi kabisa kuandika majina yote matatu kwa kirefu yaani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA pale juu ya barua yangu?Ndugu mwalimu Mafwimbo naomba nikutoe hofu hapo hakuna tatizo lolote endelea na maandalizi ya mkando
Umeshajibiwa na wadau zaidi ya 3 hakuna shida relax, uitwe intervyuu bado unauliza swali ilo ilo, wanachozingatia vyeti iyo barua jina lako ata ungeweka majina mawili tu haina shidawaaao bora umenitiia moyo, kwaiyo nilikuwa sahihi kabisa kuandika majina yote matatu kwa kirefu yaani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA pale juu ya barua yangu?
Utaitwa relax mkuu,sidhani kama wana concentrate sana na tarehe mara nyingi wanaangalia utofauti wa majina kwenye vyeti na NIDA ata hivyo mkuu,fanya namna urekebisho taarifa zako za nNIDA ziwe sawa na vyeti vyakoMimi kwenye namba ya nida tarehe ya kuzaliwa ilikosewa badala ya tarehe 27 inasomeka 25 tofauti na vyeti vyangu vyote sasa najiuliuliza naweza kuitwa kwenye intavyuuu au ndo imetoka niendelee na kilimo ndugu zangu au ndo niandae affidavit kwa maombi yajayo
Ngoja Ndugai na wapambe wake wakumbushie😂😂😂Jambo jema sana hili, sio ile plan waliokua nayo ya matumizi ya tehama kwamba mwalimu mmoja aweze kufundisha shule zaidi ya 10 kwa muda mmoja kwa kutumia projector😀🤝
Hakuna interview hapo nikanyaga liende mkuuMimi kwenye namba ya nida tarehe ya kuzaliwa ilikosewa badala ya tarehe 27 inasomeka 25 tofauti na vyeti vyangu vyote sasa najiuliuliza naweza kuitwa kwenye intavyuuu au ndo imetoka niendelee na kilimo ndugu zangu au ndo niandae affidavit kwa maombi yajayo
Watu washaanza kuripoti vituo vya kazi ase. Kutoboa Tanzania hii bila connection ni kitu ngumu sana. Tuendelee kujaribu tu wakuu.
😥Watu washaanza kuripoti vituo vya kazi ase. Kutoboa Tanzania hii bila connection ni kitu ngumu sana. Tuendelee kujaribu tu wakuu.