Utaitwa kwa usaili.jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Ila itabidi uende na deedpol au affidavit kutoka mahakamani