Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Ufafanuzi uko hivi; siku hizi hakuna utambulisho wa initials za majina.Serikali imekwisha achana na mfumo huo siku nyingi sana Majina yanayotumika ni matatu.nitash
nitashukuru saana nikipata ufafanuz zaidi make mm sijaona mtu mwenye initial kwenye yale majina ya ajira koo ndio nikawa nachanganyikiwa apa
Kwa wale waliosoma zamani ambao walitumia majina mawili au majina yenye initials kwenye vyeti vyao, marekebisho wameyafanya wakati wa usajili wa NIDA au wakati wanaingia kwenye ajira (kwa wale waliokwisha ajiriwa)
Kwasasa taarifa zote kuanzia watoto wanapozaliwa hadi wale wanaonza shule husajiliwa kwa majina matatu bila kutumia initials
Mwenye majina mawili au alitumia initials wakati anasoma kwenye vyeti vyao hiyo hainashida kwani lazima atalazimika kutumia majina matatu wakati wa usajili wa NIDA