kafuta ambele
Senior Member
- Aug 7, 2017
- 184
- 515
Ada yako haikwenda bure kaka kuelimika ni pamoja na kujua lengo la mzungumzaji hata kama hakuzungumza ulivotaka uzungumzeNahisi alikuwa anamaanisha mabadiliko yaliyo kwenye account za waalimu na sio PDF