Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

nitash

nitashukuru saana nikipata ufafanuz zaidi make mm sijaona mtu mwenye initial kwenye yale majina ya ajira koo ndio nikawa nachanganyikiwa apa
Ufafanuzi uko hivi; siku hizi hakuna utambulisho wa initials za majina.Serikali imekwisha achana na mfumo huo siku nyingi sana Majina yanayotumika ni matatu.

Kwa wale waliosoma zamani ambao walitumia majina mawili au majina yenye initials kwenye vyeti vyao, marekebisho wameyafanya wakati wa usajili wa NIDA au wakati wanaingia kwenye ajira (kwa wale waliokwisha ajiriwa)

Kwasasa taarifa zote kuanzia watoto wanapozaliwa hadi wale wanaonza shule husajiliwa kwa majina matatu bila kutumia initials

Mwenye majina mawili au alitumia initials wakati anasoma kwenye vyeti vyao hiyo hainashida kwani lazima atalazimika kutumia majina matatu wakati wa usajili wa NIDA
 
asante saana

Wadau hivi kama kwenye employer pale hapajabadilika na kuonyesha mkoa ulioomba maana yake nijikatae hakuna kitakachoendelea mana naskia wengine employer imekuwa ni mikoa ambayo waliichagua mimi bado inasoma MDA's and LGA's????
 
Kada gani?
 
Tulia bado majina ayajatoka usijipe pressure
 
Wadau hivi kama kwenye employer pale hapajabadilika na kuonyesha mkoa ulioomba maana yake nijikatae hakuna kitakachoendelea mana naskia wengine employer imekuwa ni mikoa ambayo waliichagua mimi bado inasoma MDA's and LGA's????
Subiri pdf mkuu huku ukiendelea kugoogle notes za curriculum and teaching methodology mikando is real
 
Wadau hivi kama kwenye employer pale hapajabadilika na kuonyesha mkoa ulioomba maana yake nijikatae hakuna kitakachoendelea mana naskia wengine employer imekuwa ni mikoa ambayo waliichagua mimi bado inasoma MDA's and LGA's????
Na Mimi unasoma hivo
 
Rumors pia ni chanzo cha uhakika cha habari kwahiyo usipuuze
Kwa mfano unaambiwa kuna watu tayari wameshaanza kazi, hizi za ualimu na afya. Utatumia mbinu zipi kujua ukweli wa hiyo taarifa ?
 
Mbinu yoyote naweza tumia ila sitapuuza huenda ikawa ni kweli au sio kweli
 
Mara nyingi taarifa kama hizo utasikia
Rafiki yangu, jirani yangu au mtu mwingne yeyote wa karibu. Hence ni ngumu kujua ukweli wa mambo.
 
Nahisi alikuwa anamaanisha mabadiliko yaliyo kwenye account za waalimu na sio PDF
 
Back
Top Bottom