Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Utaitwa kwa usaili.

Ila itabidi uende na deedpol au affidavit kutoka mahakamani
 
Ndugu mwalimu Mafwimbo naomba nikutoe hofu hapo hakuna tatizo lolote endelea na maandalizi ya mkando
 
Utaitwa kwa usaili.

Ila itabidi uende na deedpol au affidavit kutoka mahakamani
kwa kesi yake hakuna tatizo na wala haitaji kwenda na hivyo vitu,maana initial S.kirefu chake kipo kuanzia cheti cha kuzaliwa mpaka NIDA
huwa tunaenda na kiapo cha mahakama au deedpol kwa majina yaliyotafuti kabisa yaani mfano MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA na MAFWIMBO PAULO KAYOLA n.k hawa ni watu wawili totauti hivyo lazimw itahitajika uhende na hizo document kuthibitieha kwamba huyu ni mtu mmoja
 
Mwalimu ana wasi wasi huyo
 
jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Tafuta affidavit kuonyesha iyo S. ni nini
 
Kwa kesi yako akuna kiapo Wala Nini hupo sawa jiandae na usahili ndugu aunashida wewe
 
jamani naombeni mnisaidiie mfano majina matatu yanayosomeka kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa ni MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA lakin kwenye vyeti vya kitaaluma vyote jina la kati limefupishwa (initial name) na kusomeka hivi MAFWIMBO S. KAYOLA kwenye hizi ajira za walimu ivi akuta kua na changamoto yoyote kwa ayo majina make napata hofu ukizingatiia kwenye mfumo na ile barua ya maombi niliandika majina yote matatu kwa kirefu kama yalivyo kwenye NIDA yani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA
Hakuna tatizo mkuu... Mimi huwa vyeti vyangu vyote ni majina mawili lakini nida ni matatu na nipo serikalini bila ya affidavit wala nini.
 
Walimu ambao mnajiandaa na usaili wa written.

Ntawapa mambo ya kuzingatia maana Mimi nimefanya mara kadhaa usaili katika shule za private.

Anza kusoma haya mambo👎🏽

Curriculum and syllabus

Lesson plan

Scheme of work

Teaching Aid

Teaching method

Teacher philosophy

Media and technology in teaching

Counselor and guidance in teaching
Mkuu kwenye lesson plan na schemes of work wanaweza uliza maswali gani??? naona na pm umefunga mkuu
 
waaao bora umenitiia moyo, kwaiyo nilikuwa sahihi kabisa kuandika majina yote matatu kwa kirefu yaani MAFWIMBO SWAMILA KAYOLA pale juu ya barua yangu?
Umeshajibiwa na wadau zaidi ya 3 hakuna shida relax, uitwe intervyuu bado unauliza swali ilo ilo, wanachozingatia vyeti iyo barua jina lako ata ungeweka majina mawili tu haina shida
 
Wakuu walio wahi kufanya interview ajira za bunge kada yoyote ile waje hapa watoe muongozo😊kuhusu maswali yanayoulizwa uko, je wanauliza maswali kulingana na kada husika hususani kwenye written? Au ni maswali ya kibunge bunge?
 
Mimi kwenye namba ya nida tarehe ya kuzaliwa ilikosewa badala ya tarehe 27 inasomeka 25 tofauti na vyeti vyangu vyote sasa najiuliuliza naweza kuitwa kwenye intavyuuu au ndo imetoka niendelee na kilimo ndugu zangu au ndo niandae affidavit kwa maombi yajayo
 
Utaitwa relax mkuu,sidhani kama wana concentrate sana na tarehe mara nyingi wanaangalia utofauti wa majina kwenye vyeti na NIDA ata hivyo mkuu,fanya namna urekebisho taarifa zako za nNIDA ziwe sawa na vyeti vyako

Nenda ofisi ya NIDA iliyo karibu nawe utapewa utaratibu nini cha kufanya
 
Jambo jema sana hili, sio ile plan waliokua nayo ya matumizi ya tehama kwamba mwalimu mmoja aweze kufundisha shule zaidi ya 10 kwa muda mmoja kwa kutumia projector😀🤝
Ngoja Ndugai na wapambe wake wakumbushie😂😂😂
 
Afya wamepewa angalizo kwa usaili, hahaha wewe mwalimu tulia subiri siku yako wakunyoe.Muda wa kuajiri walimu wa hovyo umeisha sasa ni kupata watu sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa
 
Attachments

  • FB_IMG_17246518381548112.jpg
    FB_IMG_17246518381548112.jpg
    326.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom