Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Utumishi wako fair sana ukikandwa umekandwa TU hawana upendeleo wowote na wako makini sana na mambo Yao hawabahatishi
 
Umejuaje KAMA HAWASAHIHISHI WAKATI HUNA USHAHIDI WOWOTE ?
 
Ogop
Unaambiwa uko kwenye Geography leo ni vilio vitupu watu wamekandwa hadi wamesahau vyeti vyao na mabegi yao wakati wa kuondoka
Ogopa watu walichukua kiswahili kama reference then wanaenda kukutana na matheory ya philosophy of education 🀣🀣🀣

Watu wamepiga ma physical geography wamelaza msabila mzima

anakutana na theory pepa nzima
 
Sijui matokeo yake yatakuwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…