Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Wakuu kuna mdada alijaza qualification ya diploma sasa anataka aedit atumie ya certificate ili aombe utendaji kata ila akiedit programme inakuja moja tu aliosoma yeye haiji tufanyeje
Haiwezekani
 
Wakuu kuna mdada alijaza qualification ya diploma sasa anataka aedit atumie ya certificate ili aombe utendaji kata ila akiedit programme inakuja moja tu aliosoma yeye haiji tufanyeje
Utendaji kata(WEO) hauombwi ni cheo cha kuteuliwa. Kinachotangwaza na utumishi Kwa kuziwakilisha halmashauri ni utendaji wa mitaa/vijiji(VEO).
 
Utendaji kata(WEO) hauombwi ni cheo cha kuteuliwa. Kinachotangwaza na utumishi Kwa kuziwakilisha halmashauri ni utendaji wa mitaa/vijiji(VEO).
Hapana hata utendaji kata (WEO) wanaomba hata utumishi huwa wanazitangaza hiyo ya kuweka mtu tuu ilikuwa zamani sana! Siku hizi zinatangazwa kuanzia kijiji hadi Kata! Ukitembelea ajira portal unaweza ukazikuta …
 
Kuna ukweli hapa?
tapatalk_753047471_720x720.jpg
 
Sisi walimu degree sayansi basic mshahara ni kiasi gan ?

Sisi tuliosoma Kwa mkopo wa bodi take home tunapokea kiasi gani ?
 
Hawa ajira portal mbona siwaelewi.
Nilikuwa nimesahau password 🔑
Nikawapigia wakanitumia
Sasa Leo nataka ku login kufanya mambo yangu wananiambia habari za temporary locked
 
Hii hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20240728-193349.png
    Screenshot_20240728-193349.png
    229.1 KB · Views: 7
Utendaji kata(WEO) hauombwi ni cheo cha kuteuliwa. Kinachotangwaza na utumishi Kwa kuziwakilisha halmashauri ni utendaji wa mitaa/vijiji(VEO).
😀😀😀 unazingua ww tangu lini mtendaji kata anateuliwa?
Au unaongelea madiwani viti maalumu?
Kuteuliwa ni wakuu wa wilaya,wakurugenzi,DAS,na ngazi zingine za juu
Mtendaji kata nafasi utangazwa watu wanaomba au anapandishwa cheo mtendaji wa mtaa kama ana sifa na vigezo
 
Hawa ajira portal mbona siwaelewi.
Nilikuwa nimesahau password 🔑
Nikawapigia wakanitumia
Sasa Leo nataka ku login kufanya mambo yangu wananiambia habari za temporary locked
Umejaribu sana ndio maana imefungwa! Subiri baada ya muda halafu ujaribu tena! Halafu kama ikigoma wapigie tena
 
Back
Top Bottom