Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Mara ya kwanza waliposema kutakuwepo na usahili ( interview ) jamaa yangu alipata matumaini makubwa sana kuwa huenda mwakaa huu ndiyo ukawa mwaka wakw wa yeye kupata kazii...
.
Lakini toka nimfikishie hii taarifa yakuwa huenda interview isiwepo kutokana na upungufu wa bajeti toka Tamisemi ,,, amekosa raha ,, hana
furaja tena ,,, nilipomuuliza shida nn ??

Anadai ,,, huu utaratibu wa mwenye bahati ndiyo apate kazi siyo utaratibu nzuri ,,, ni utaratibu wenye upendeleo ndani yake ...
 
Yaa

ni Kwa mara ya kwanza Utumishi wataajir bila interview
 
Mara ya kwanza waliposema kutakuwepo na usahili ( interview ) jamaa yangu alipata matumaini makubwa sana kuwa huenda mwakaa huu ndiyo ukawa mwaka wakw wa yeye kupata kazii...
.
Lakini toka nimfikishie hii taarifa yakuwa huenda interview isiwepo kutokana na upungufu wa bajeti toka Tamisemi ,,, amekosa raha ,, hana
furaja tena ,,, nilipomuuliza shida nn ??

Anadai ,,, huu utaratibu wa mwenye bahati ndiyo apate kazi siyo utaratibu nzuri ,,, ni utaratibu wenye upendeleo ndani yake ...
Huu utaratibu mbaya wanene uchomeka watoto zao umo
 
Interview mkuu,achana na stori za wachache utaratibu lazima mchujo uwepo

Kwa sheria za utumishi kweli ilipaswa kuwe na interview lakin sasa tukienda kwenye uhalisia ,,,

TAMISEMI wanapowaomba utumishi wawatafutia wafanyakazi ,,, huwapa pia na fungu kwa ajira kuendeshea usahili .. kitu ambaxho hakijafanyika na Tamisemi mpaka sasa ( yani hawajatoa fungu kwa ajili ya kuendeshea usahili )

Lakin pia muda haupo upande wao,, kama kweli watafuata kanununi za utumishi basi vijana wataripoti vituoni mwezi wa 10 au wa 11 kabisaa
 
Kwani ratiba ya TAMISEMI inataka lini waende kuripoti?
 
Unadhani serikali Ina haraka, afu unadhani mwezi wa kumi ni mbali,, interview lazima zipigwe unakuta kiswahili Dodoma wanaitajika 3 , na wameomba 100, bila interview utawachujaje?
 
Kwani ratiba ya TAMISEMI inataka lini waende kuripoti?
Kimsingi Tamisemi walikuwa wanatoa ajira hizi za walimu na Afya mwezi wa nne na mchakato wa kuwspata ulifanyika kwa miezi miwili yani 5 na 6 ,, walimu wapya wali- report. Mwezi wa saba katika vituo vyao vya kazi ..
.
Sasa utaratibu huu mpya umeyumbisha kila kitu .. ndiyo maana utaona mawaziri walitoa ahadi za ajira toka mwezi wa kwanza kuwa afikapo mwezi wa 4 serikali inatizamia kutoa ajira za Afya na Ualimu ,,, lakini ajira zimekuja kutoka mwezi wa 7 ,,, sasa kama watafata mchakato wao wa sahili 3 ,, written , practice na oral basi mambo ysnaweza kwenda mpaka wa 12 ..
 
Kama mchakato utafuatwa mchakato utakamilika mwakani mwezi wa 2~4.
Kukagua viambatanisho kwenye mfumo miezi 2, kuandaa orodha na kuita watu kwenye interview mwezi 1 interview ya written, practical na oral miezi ( ndo ndo muda mwingi utatumika)
Kwenye practical na oral mtu mmoja anatumia dk30~45 sasa kwa siku moja watatumia panel itahoji watu 10~15.
Kuhoji watu 1500 zitahitajika panel 100 sawa na watu 300.
 
Back
Top Bottom