DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Huyo anamuombea demu wake alishasema hataki mke wake akawe kitoweoMbona h ishu unaweza kuijaza ndan ya siku moja, ww unafeli wap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anamuombea demu wake alishasema hataki mke wake akawe kitoweoMbona h ishu unaweza kuijaza ndan ya siku moja, ww unafeli wap?
Kwahy anatafuta kisingizio 😂Huyo anamuombea demu wake alishasema hataki mke wake akawe kitoweo
Afya naona hawajaitwa interview,,hizi ajira hadi kutoka labda DecemberHapataongezwa hata sekunde Moja saa 00:00 chuma itakuwa shot down.
Kwahy anatafuta kisingizio 😂
Huyo jamaa ana matatizo yake asisingizie mfumo.
ni Kwa mara ya kwanza Utumishi wataajir bila interviewMara ya kwanza waliposema kutakuwepo na usahili ( interview ) jamaa yangu alipata matumaini makubwa sana kuwa huenda mwakaa huu ndiyo ukawa mwaka wakw wa yeye kupata kazii...
.
Lakini toka nimfikishie hii taarifa yakuwa huenda interview isiwepo kutokana na upungufu wa bajeti toka Tamisemi ,,, amekosa raha ,, hana
furaja tena ,,, nilipomuuliza shida nn ??
Anadai ,,, huu utaratibu wa mwenye bahati ndiyo apate kazi siyo utaratibu nzuri ,,, ni utaratibu wenye upendeleo ndani yake ...
Huu utaratibu mbaya wanene uchomeka watoto zao umoMara ya kwanza waliposema kutakuwepo na usahili ( interview ) jamaa yangu alipata matumaini makubwa sana kuwa huenda mwakaa huu ndiyo ukawa mwaka wakw wa yeye kupata kazii...
.
Lakini toka nimfikishie hii taarifa yakuwa huenda interview isiwepo kutokana na upungufu wa bajeti toka Tamisemi ,,, amekosa raha ,, hana
furaja tena ,,, nilipomuuliza shida nn ??
Anadai ,,, huu utaratibu wa mwenye bahati ndiyo apate kazi siyo utaratibu nzuri ,,, ni utaratibu wenye upendeleo ndani yake ...
Interview mkuu,achana na stori za wachache utaratibu lazima mchujo uwepo
Kwa sheria za utumishi kweli ilipaswa kuwe na interview lakin sasa tukienda kwenye uhalisia ,,,Interview mkuu,achana na stori za wachache utaratibu lazima mchujo uwepo
Kwani ratiba ya TAMISEMI inataka lini waende kuripoti?Kwa sheria za utumishi kweli ilipaswa kuwe na interview lakin sasa tukienda kwenye uhalisia ,,,
TAMISEMI wanapowaomba utumishi wawatafutia wafanyakazi ,,, huwapa pia na fungu kwa ajira kuendeshea usahili .. kitu ambaxho hakijafanyika na Tamisemi mpaka sasa ( yani hawajatoa fungu kwa ajili ya kuendeshea usahili )
Lakin pia muda haupo upande wao,, kama kweli watafuata kanununi za utumishi basi vijana wataripoti vituoni mwezi wa 10 au wa 11 kabisaa
Unadhani serikali Ina haraka, afu unadhani mwezi wa kumi ni mbali,, interview lazima zipigwe unakuta kiswahili Dodoma wanaitajika 3 , na wameomba 100, bila interview utawachujaje?Kwa sheria za utumishi kweli ilipaswa kuwe na interview lakin sasa tukienda kwenye uhalisia ,,,
TAMISEMI wanapowaomba utumishi wawatafutia wafanyakazi ,,, huwapa pia na fungu kwa ajira kuendeshea usahili .. kitu ambaxho hakijafanyika na Tamisemi mpaka sasa ( yani hawajatoa fungu kwa ajili ya kuendeshea usahili )
Lakin pia muda haupo upande wao,, kama kweli watafuata kanununi za utumishi basi vijana wataripoti vituoni mwezi wa 10 au wa 11 kabisaa
Kimsingi Tamisemi walikuwa wanatoa ajira hizi za walimu na Afya mwezi wa nne na mchakato wa kuwspata ulifanyika kwa miezi miwili yani 5 na 6 ,, walimu wapya wali- report. Mwezi wa saba katika vituo vyao vya kazi ..Kwani ratiba ya TAMISEMI inataka lini waende kuripoti?
Kama mchakato utafuatwa mchakato utakamilika mwakani mwezi wa 2~4.Kimsingi Tamisemi walikuwa wanatoa ajira hizi za walimu na Afya mwezi wa nne na mchakato wa kuwspata ulifanyika kwa miezi miwili yani 5 na 6 ,, walimu wapya wali- report. Mwezi wa saba katika vituo vyao vya kazi ..
.
Sasa utaratibu huu mpya umeyumbisha kila kitu .. ndiyo maana utaona mawaziri walitoa ahadi za ajira toka mwezi wa kwanza kuwa afikapo mwezi wa 4 serikali inatizamia kutoa ajira za Afya na Ualimu ,,, lakini ajira zimekuja kutoka mwezi wa 7 ,,, sasa kama watafata mchakato wao wa sahili 3 ,, written , practice na oral basi mambo ysnaweza kwenda mpaka wa 12 ..
Kipigwe TU maswala ya bahati yanakatisha tamaa vijanaBinafsi naombea interview ipigwe ili angalau tupate walimu wazuri maana kuna watu wanaajiriwa mpaka unashangaa kama ni mwalimu kweli.