Jumatatu niliulizia sukari Tabata kilo 3500.Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini, ambapo kwa Dar es Salaam itauzwa kwa Shilingi 2,600 kwa Kg 1, Mbeya 3,000, Mwanza, Dodoma na Shinyanga 2,900, Kigoma 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni 2,700, Kagera na Mara ni 3,000.
Aidha kwa Mikoa ya Lindi na Mtwara, Sukari itauzwa kwa Sh.2,800, Rukwa, Katavi, Ruvuma itauzwa kwa Sh 3,200. Njombe, Geita, Tabora, Singida, Iringa na Simiyu itauzwa kwa Sh.2900 na kwa Manyara, Tanga, Pwani na Morogoro itauzwa kwa Sh 2,700 na Songwe ni Sh.3,000.
[emoji4][emoji4]Yaani kagera inapozalishwa 3000 halaf dar 2600[emoji4][emoji4][emoji4]
Mark my words.Drama...walishindwa kipindi kile, ngoja tuone kipindi hiki...bei elekezi my foot!
Mvua zimeharibu sugar content kwenye miwa...imekuwa chelema.
Huu mwaka mbovu kwakweli...uishe jamani
Everyday is Saturday..................... π
Nahisi Dar kuna sukari nyingi sana inayoshushwa bandarini toka nje ya nchi.Yaani kagera inapozalishwa 3000 halaf dar 2600πππ
Mkuu nilitaka kuporomosha mvua ya matusi hapa mbona Morogoro bei nafuu sukari inazalishwa halafu kagera ndio hivyo tenaYaani kagera inapozalishwa 3000 halaf dar 2600[emoji4][emoji4][emoji4]
Kwani Serikali ina sukari? na inafanya biashara?na maghala yao yako wapi? Mimi nafikili wafanyabiashara wangeachwa wapange bei hata ikiwezekana iwe hata 10,000/ kwa kg 1,hakuna shida sisi WANYONGE tutanunua tu.
HEBU JIPIGEPIGE KIFUA NA KUJIAMBIA WEWE NI MATAKOKwani Serikali ina sukari? na inafanya biashara?na maghala yao yako wapi? Mimi nafikili wafanyabiashara wangeachwa wapange bei hata ikiwezekana iwe hata 10,000/ kwa kg 1,hakuna shida sisi WANYONGE tutanunua tu.
Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini, ambapo kwa Dar es Salaam itauzwa kwa Shilingi 2,600 kwa Kg 1, Mbeya 3,000, Mwanza, Dodoma na Shinyanga 2,900, Kigoma 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni 2,700, Kagera na Mara ni 3,000.
Aidha kwa Mikoa ya Lindi na Mtwara, Sukari itauzwa kwa Sh.2,800, Rukwa, Katavi, Ruvuma itauzwa kwa Sh 3,200. Njombe, Geita, Tabora, Singida, Iringa na Simiyu itauzwa kwa Sh.2900 na kwa Manyara, Tanga, Pwani na Morogoro itauzwa kwa Sh 2,700 na Songwe ni Sh.3,000.