Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kuna mambo yamezingatiwa katika upangaji bei. Ikiwemo umbali na eneo sukari inapozalishwa,maana gharama za usafiri zinatofautiana toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.Kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na bei tofauti kwa kila mkoa. Mbona viwanda vikizalisha bei inakuwa sawa kote. Serikali inaumiza walaji na kuwanufaisha wazalishaji.