Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kuna mambo yamezingatiwa katika upangaji bei. Ikiwemo umbali na eneo sukari inapozalishwa,maana gharama za usafiri zinatofautiana toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.Kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na bei tofauti kwa kila mkoa. Mbona viwanda vikizalisha bei inakuwa sawa kote. Serikali inaumiza walaji na kuwanufaisha wazalishaji.
Pembe la ng'ombe huwa alijifichi walizuia bureau de change binafsi wakaruhusu mabenki ili wayape bei elekezi still nayo imebuma leo dola 2300.Sio kila tingo anaweza uderevaKuna shida ya kiuchumi inafukuta kwa chini ila wanataka kuitatua kwa ubabe, baadae matokeo tutayaona, kwa kawaida ndani ya nchi bei za bidhaa zilezile hazitakiwi kupishana kwa zaidi ya shilingi 200/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Still maisha hayawezi simama sababu ya coronaAmana vipi? Bado maiti barabarani! achana na sukari, tatizo kubwa ni corona...
[/QUOTE]HEBU JIPIGEPIGE KIFUA NA KUJIAMBIA WEWE NI MATAKO
Nenda kashangae Mtwara inapotoka Gas.Yaani kagera inapozalishwa 3000 halaf dar 2600[emoji4][emoji4][emoji4]
Ngoja Mataga wajeKwa maana hiyo serikali imepandisha bei ya sukari rasmi .
Duh aliyetuletea hii serikali Mungu anamuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii serikali yetu ya awamu ya tano imeshindwa kuendesha nchi ndiyo maana kila kitu kinazidi Kupaa bei.
Hii bei itawaumiza wengiHii serikali yetu ya awamu ya tano imeshindwa kuendesha nchi ndiyo maana kila kitu kinazidi Kupaa bei.
Bidhaa muhimu kama Sukari wanapandisha bei kwa ongezeko la karibia shillingi 700 huu siyo uungwana hata kidogo ni kuwaumiza wananchi kwa makusudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii serikali imejaa mbumbumbu wengi sana na bahati mbaya hawajui kuwa hawajui lolote zaidi ya kula na kulala tu.Wametumia kanunni gani kupanga hiyo bei???...Kwanini Lindi mkoa ambao upon karibu na Dar bei iwe juu tofauti na Arusha ambapo ni Mbali na Dar inaposhukia Sukari (bandari)??? Naombeni ufafanuz
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana hiyo kwa mwezi tunalazimika kutenga zaidi ya 20000 kwajili ya sukari tu ?
Ingia mtaani mkuu kuanzia kesho ndo utajua serikali ni ya wanyonge. Halafu ulete mrejesho.Hii ndiyo serikali ya wanyonge, inayowajali wanyonge na kufanya kazi kwa ajili ya wanyonge kama wewe sio mnyonge kamwe huwezi kuelewa namna gani serikali yetu sikivu inavyotujali wanyonge.
Waziri ni mgeni hajui kazi yake hajui Ramani ya nchi yakeSukari kutoka nje ya nchi kuja nchini hupokelewa ktk bandari ya Dar es salaam...kutoka Dar kuja LINDI na MTWARA ni kilometa chache tofauti na kutoka Dar kwenda MANYARA,ARUSHA na KILIMANJARO nashangaa bei elekeza kwa mikoa ya Lindi na Mtwara ni juu tofauti na mikoa ya kaskazni...ni kigezo gani kimetumika kupanga bei hii
Sent using Jamii Forums mobile app