Serikali yatangaza nafasi 41,500 za ajira ikiwemo nafasi 7,000 kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000

Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo

Kumbe zipo? mpaka tarehe 29 zitakuwa zimetoka 500000
 
Geresha ya kupooza maandamano hii. Hatudanganyiki.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000

Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo

Maandamano bye bye..
 
Kuhaidi nafasi za ajira ni sawasawa na kupiga plasta mgonjwa wa kansa ukitegemea atapona badala ya kufanya operesheni ili kuindoa. Nafasi za ajira zilianza kuhaidiwa tangu miaka 60 nyuma na hakuna tofauti yoyote zimeleta kwenye jamii kiujumla. Ni Individualistic development badala ya collectively. Hata mtoe nafasi 500,000 bado kuna wananchi 60,000,000+ wanalia maisha magumu.

Kinachotakiwa ni kubuni, kuanzisha na kuwezesha vyanzo vipya vya ajira na vitega uchumi ambavyo vitalenga kila mtu, hasa wananchi wengi wasio na vigezo kupata ajira za sasa.

Nchi ina nguvu kazi kubwa sana lakini hakuna mtu mwenye uwezo wala idea ya jinsi ya kuitumia effectively. Mambo mengine yanasikitisha sana na kutia hasira hasa yakiwa wazi kama hivi.
 
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000

Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo

Hapa nitume maombi sasa ,nami niajiriwe na serikali hasa kwenye vyombo vya ulinzi wa Taifa langu mapema sana , nimechoka na vibarua vya mtaani
 
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000
Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo.
 
Back
Top Bottom