Serikali yatangaza nafasi 41,500 za ajira ikiwemo nafasi 7,000 kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama

Tayari mambo yamekuwa magumu sana kwenye kampeni na serikali ya CCM.

Maji yamezidi unga, GEN Z ni Bora wapozwe na ajira au kupunguza hasira za wananchi...
 
Mama apite bila kupingwa

Nikadhani wanetangaza majina ya walioitwa kazini, matapeli CCM mnataka kupotezea watu rasilimali fedha na muda??

Mbwa nyie Ma CCM na viunga vyenu.
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000

Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo

Jaribu hivyo muone, mtaomba hata muachwe vilema lakini hamtopewa hiyo rehema. Kama unawatoto amani nakuambia utawaacha yatima.
Watoto wa nani hawatakuwa yatima?

Kifo tumeumbiwa binadamu na kila mtu lazima afe.

Oktoba 29 ni mwisho wenu Mafisadi.
 
Nawaonea Huruma Vijana hao wa JKT walioko mtaani na wale walioko makambini na wapuuzi wengine, waloambiwa Tutawavalisha Magwanda ,hakikisheni Maandamano mnayadhibiti, Kisha baada ya hapo Mnaajiriwa !!.

HAMNA CHA AJIRA !!.
Hivi kumbe ni kweli hili suala la JKT leavers waliopo mtaani, kuvalishwa gwanda ili watulize watu watakao andamana hiyo siku?..

Kunae m1 aliniambia hiki kitu, wameahidiwa baada ya uchaguzi ni ajira 1 kwa 1.
Lol.
 
Swali la msingi, serikali imeanza kuwalipa posho na marupuru kama afisa wa geshi ?

Kama Bado ,watambua wanatatumika kama condom
 
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000

Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo

Kampeni za uchaguzi hakuna kitu hapo!
 
Back
Top Bottom