Serikali yatangaza nafasi 41,500 za ajira ikiwemo nafasi 7,000 kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama

Serikali yatangaza nafasi 41,500 za ajira ikiwemo nafasi 7,000 kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama

Serikali imetangaza jumla ya nafasi 41,500 za ajira katika kada mbalimbali zikiwemo elimu, afya, ulinzi, kilimo, mifugo na uvuvi, huku ikiagiza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha mchakato wa kuzijaza zote ifikapo Novemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Oktoba 11, 2025, katika Ofisi za Utumishi zilizopo Mtumba jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amesema ajira hizo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kujaza upungufu mkubwa wa watumishi wa umma nchini.

Kwa mujibu wa Mkomi, kada zitakazonufaika ni pamoja na:

Elimu: nafasi 12,176

Afya (Serikali za Mitaa): nafasi 10,280

Kilimo: nafasi 470

Mifugo: nafasi 312

Uvuvi: nafasi 47

Vyombo vya Ulinzi (Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji): nafasi 7,000

Aidha, kada nyingine mbalimbali nazo zitapewa kipaumbele.

Mkomi ameielekeza Sekretarieti ya Ajira kukamilisha pia mchakato wa ajira 45,000 ambazo hazikujazwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, sambamba na ajira mpya za mwaka 2025/2026, kabla ya kufika Novemba mwaka huu.

Ameongeza kuwa kwa sasa Serikali inakabiliwa na upungufu wa watumishi takribani 280,000, na kwamba juhudi zinaendelea kufanyika kwa kutoa vibali vipya vya ajira ili kupunguza pengo hilo

Kwanini wakati huu,na je takwimu hizi za ajira zinazotolewa,zitakazo tolewa ni mamlaka ipi ina zitunza na kuzihakiki na kuthibitisha uhalali na usahihi wake?Je naruhusiwa kujua ukweli na usahahi wa yale tuambiwayo kama haya hasa wakati huu wa kampeni za kisiasa?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Kuna mwingine kama wewe ilikuwa kwenye kila mada yeye ana bandiko lake eti anataka majibu kwa nini bandari iuzwe! Alibwata humu weeeee Mwarabu alipochukua tu bandari kapotea humu. Sijui yule ndio wewe!
Mana baada ya October utapotea humu
 
Bandari haijauzwa inabidi ujiongeze kichwani kuujua ukweli huo.

Kilichofanyika kwa TICTS mwaka 2000 wakati wa Mkapa kimefanyika 2024 kwa DP World wakati wa SSH.

Tatizo baadhi yetu tunatanguliza udini kwenye mada nyeti za kiuchumi, TICTS alipewa miaka 30 kwa maana mpaka 2030 ilipofika mwaka 2018 serikali ikajiridhisha kuwa vigezo vimepungua na mwekezaji hakidhi viwango vya uendeshaji ikaamua kuachana nae akapewa mkataba DP World, kaanza kazi tangu mwaka 2024.
 
Kilichofanyika kwa TICTS mwaka 2000 wakati wa Mkapa kimefanyika 2024 kwa DP World wakati wa SSH.
Sio kweli, DP world ana gati nyingi na scope of operation kubwa kuliko TICTS. Na hata nikikuuliza kuna tender yoyote ilitangazwa walau kuwepo na competition hakuna!!

Mie ni mdau wa PPP na hata uwekezaji wa Dp world niliunga mkono ila UTARATIBU uliotumika ndio ulikua shady.

Hata nikikuuliza wewe mgao wa mapato ukoje hauna jibu!!
 
Tatizo baadhi yetu tunatanguliza udini kwenye mada nyeti za kiuchumi,
Udini unaingiaje hapa, mbona watu wanawapinga hadi wachina kupewa bandari ya bagamoyo kwani ni waislam au ni wakristo wale? Acheni inferiority complex.
ikaamua kuachana nae akapewa mkataba DP World, kaanza kazi tangu mwaka 2024.
Unavyoongea utadhani aliyevunja mkataba 2018 ndio aliyetoa mkataba 2024!! Cha ajabu akiingia rais mwingine 2030 na kuvunja mkataba mtakuja tena kumpongeza
 
Sio kweli, DP world ana gati nyingi na scope of operation kubwa kuliko TICTS. Na hata nikikuuliza kuna tender yoyote ilitangazwa walau kuwepo na competition hakuna!!

Mie ni mdau wa PPP na hata uwekezaji wa Dp world niliunga mkono ila UTARATIBU uliotumika ndio ulikua shady.

Hata nikikuuliza wewe mgao wa mapato ukoje hauna jibu!!
Scope of operation kuwa kubwa haimaanishi kwamba DP World wameshakuwa waswahili wenzetu sawa na TICTS walivyokuwa wazungu.

Hapakuwa na ushindani kwa kigezo kwamba anakuja pia kuchukua mzigo wa kutoka huko Burundi na Rwanda shughuli zake haziishi hapo TPA peke yake, wengi wa washindani wake hawakuwa na interest ya kibiashara ambayo ingeweza pia ni ile ile kwa upande wa serikali.

Hata mgao wa TICTS na serikali kuu sidhani kama wengi wetu tunafahamu ulikuwa vipi. Tofauti kikazi ipo kati ya anavyoendesha huyu DP World na ambavyo sisi wabongo tulivyogeuka kuwa sehemu ya waletaji wa hasara baada ya kuongeza tija.
 
Udini unaingiaje hapa, mbona watu wanawapinga hadi wachina kupewa bandari ya bagamoyo kwani ni waislam au ni wakristo wale? Acheni inferiority complex.

Unavyoongea utadhani aliyevunja mkataba 2018 ndio aliyetoa mkataba 2024!! Cha ajabu akiingia rais mwingine 2030 na kuvunja mkataba mtakuja tena kumpongeza
Wengi wa wanaopinga kupewa kazi huyo DP World wanamtazama SSH na asili yake kisha wanageukia asili ya wamiliki wa hiyo kampuni wanaibuka na dhana za kijinga za udini.

Ni kawaida katika shughuli za kibiashara kuvunjiana mikataba, ule wa TICTS walikuwepo wabongo wenzetu 'mchwa' hivyo serikali ikaamua kuwachinjia baharini wale jamaa.

Atapongezwa au kulaumiwa kutokana na mazingira ya kibiashara yatakavyokuwa wakati huo.
 
Scope of operation kuwa kubwa haimaanishi kwamba DP World wameshakuwa waswahili wenzetu sawa na TICTS walivyokuwa wazungu
Point ni kwamba dhamana na mamlaka waliyopewa Dp world ni kubwa kuliko TICTS waliokua confined kwenye specific operations tena kupakua makontena.

Hao dp world wameifanya bandari kuwa semi-autonomous entity sio kitengo au operation line kama TICTS
 
Hapakuwa na ushindani kwa kigezo kwamba anakuja pia kuchukua mzigo wa kutoka huko Burundi na Rwanda shughuli zake haziishi hapo TPA peke yake, wengi wa washindani wake hawakuwa na interest ya kibiashara ambayo ingeweza pia ni ile ile kwa upande wa serikali.
Jibu swali kwanini hamkutangaza tender ili makampuni makubwa yajitokeze kuomba hiyo tender kuendesha bandari. Why dp world apewe free pass? Haujui kwenye competition ndio unapata a better deal!!

Nchi zenye akili ungeona TPA inapewa 50% shares za Dp world Tanzania ila sisi tunaona kama tunasaidiwa hivi wakati economic potential tayari ilikuwepo!!
 
Hata mgao wa TICTS na serikali kuu sidhani kama wengi wetu tunafahamu ulikuwa vipi. Tofauti kikazi ipo kati ya anavyoendesha huyu DP World na ambavyo sisi wabongo tulivyogeuka kuwa sehemu ya waletaji wa hasara baada ya kuongeza tija.
Nani kasema ana support TICTS? Nao walikua mafisadi tu na hata humu jf wamepingwa tokea 2007 so usilazimishe kwamba wanaoikataa DP World basi wanaitaka TICTS.

Hata hao dp world mbona wameajiri wabongo kibao tu na hasa waliokua TPA so its not like wameshuka malaika ila tofauti ni mifumo tu na uwajibikaji maana ni kampuni binafsi.

Hoja yangu ni usawa na uwazi. Ushindani ungefanyika na hata mgao wa mapato uwe wazi ili tuweze fanya comparison ya revenue sharing model ya hapa na bandari zingine ambazo Dp world kapewa huko China au Uingereza!!
 
DP World kupewa nafasi ya kuendesha bandari ni kwa sababu ya uwepo wa muingiliano chanya wa kimaslahi kati ya serikali na kampuni hiyo.

Wao walishaweka mazingira ya kuchukua mzigo kutoka kule DRC, Burundi na Rwanda kabla hata hawajasaini mikataba na serikali yetu.

Maana yake SGR inapopata mzigo wa kutoka kwa majirani zenu wa magharibi hiyo faida inakuwa yetu, pia huyo huyo DP World anapofanya kazi bandarini pato la taifa limeongezeka.

Win Win situation, wao wanafaidika na sisi tunafaidika, waendeshaji wengine wa bandari hawakuwa na vitu vingine vya ziada zaidi ya usimamiaji wa bandari pekee.
 
Jibu swali kwanini hamkutangaza tender ili makampuni makubwa yajitokeze kuomba hiyo tender kuendesha bandari. Why dp world apewe free pass? Haujui kwenye competition ndio unapata a better deal!!

Nchi zenye akili ungeona TPA inapewa 50% shares za Dp world Tanzania ila sisi tunaona kama tunasaidiwa hivi wakati economic potential tayari ilikuwepo!!
Mazingira ya kibiashara ya DP World na Tanzania yalishabihiana tangu wakati tunatafuta kampuni mwendeshaji kwa ajili ya Bandari yetu.

DP World zaidi ya shughuli za bandari pia alishasaini mikataba ya kibiashara na Kagame pamoja na Tshisekedi, yeye anachukua mzigo kutoka kwenye mataifa hayo anauweka Rwanda kwenye yard kubwa halafu unatoka pale kwa treni mpaka bandarini Dar.

Hakuna kampuni nyingine ya uendeshaji wa bandari yenye maslahi ya moja kwa moja na kile kinachozalishwa ndani ya nchi za afrika.
 
Back
Top Bottom