Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Huoni Kati kati tayari kuna nafasi ya mwendokasiBarabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Akili za wapi hizi, yaani barabara isipite kwaajili ya palm tree DuhPale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Strabaghii phase one ya mwendokasi tunayotumia
Kwani kutakuwa na athari gani katikati ya barabara ya mwendokasi kukiwa na miti pia? Kama ni kitu kitawezekana why not?akili za wapi hizi, yaani barabara isipite kwaajili ya palm tree Duh
Tuwekee picha moja ya kibabe hapa tuone palm trees za Lugalo.Pale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Akili kisoda weweakili za wapi hizi, yaani barabara isipite kwaajili ya palm tree Duh
Barabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Pale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Barabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Mshana Jr, hebu tufanye application ya hii kandarasi aisee.Nimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake.
Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20
Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19.
View attachment 2363211
Ujenzi wa phase 4 katika jiji la Dar es Salaam unasimamiwa Na tanroads. Ngoja tuone pindi utakapokamilika.
Ila ingewafaa wasitumie yule mkandarasi wa Mbagala to Kariakoo na Mbagala tu Magomeni. Naona design na ujenzi huko chini kidogo ya viwango tofauti na hii phase one ya mwendokasi tunayotumia
Wacha utilatila na wewe! Wanakwambia ni mwendokasi wewe unafanya reference ya barabara ya kawaida? Watu wengine mkoje?Barabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Mshana Jr akawa ndiye kandarasi mkuu,ni simple tu,matirio inakuja vijana wanabandika...πππMshana Jr, hebu tufanye application ya hii kandarasi aisee....
Wacha tuanze kuomba miradi mikubwamikubwa
Kwahiyo kipande cha Morocco Mwenge kitavunjwa kwa mara nyingineNimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake.