HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Zinakatwa ile ni barabaraPale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinakatwa ile ni barabaraPale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Hivi umeangalia vizuri Ile barabara ya morroco mwenge..Ina space kubwa katikati ambayo haijaendelezwa ..means ndio itatumika kwa mwendokasiKwahiyo kipande cha Morocco Mwenge kitavunjwa kwa mara nyingine
- Wakati wa JK kilivunjwa kikaongezwa lane ya 3
- Mwendazake akavunja na kujenga kwa fedha ya Uhuru
- Majuzi majuzi kilivunjwa na kuwekwa mitaro mipana chini ya ardhi
- Na sasa kinavunjwa kuweka miundombinu ya mwendokasi
Mkuu umeangalia vizuri barabara ya morroco mwenge lakini? Katika Ina space kubwa ambayo haijaendelezwa...means hiyo ndio iliachwa makusudi kwa mwendo Kasi.Barabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Tender ikitangazwa inahusisha ujenzi wa barabara yote, kuanzia service road, main, brt, pedestrian etcPia barabara ya tegeta kwenda mwenge kulikua na ujenzi wa service road hivi karibuni. Mfano maeneo ya makonde, goig, africana ambazo nahisi zitabomolewa tena.
Tatizo mnakaririKwahiyo kipande cha Morocco Mwenge kitavunjwa kwa mara nyingine
- Wakati wa JK kilivunjwa kikaongezwa lane ya 3
- Mwendazake akavunja na kujenga kwa fedha ya Uhuru
- Majuzi majuzi kilivunjwa na kuwekwa mitaro mipana chini ya ardhi
- Na sasa kinavunjwa kuweka miundombinu ya mwendokasi
Wengine wanaona vitu kwenye TVSio mtazamo kama unaijua hio barabara ungejua kuna nafasi kubwa imeachwa katikati kwa ajili ya mwendokasi. Muwe mnaangalia vitu kwa macho na akili, umeona flyover ya tazara,chang'ombe na uhasibu? pale katikati kuna nafasi kubwa kwa ajili ya mwendokasi
Hivi huwa mwaziona serikali hazina akili?Mi nafikiri tunarudi nyuma. Serikali iwekeze kwenye haya madude - Electrical Trams gharama za kuendesha ziko chini hata nauli itakuwa chini vinginevyo tuweke mabasi ya umeme.
View attachment 2363279
Mwanasiasa ndo mwenye akili kuliko watu wenye fani zao......yaani hapo wa kulaumiwa ni wanasiasa tena Wana CCM kwa upumbavu huuBarabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Itakuwa hukuwepo mjini 2007 ukaona usafiri wa kimara ulivyo shida...kajaribu kutafuta gari ya mbagala pale gerezani saa kumi jioniHuu mradi unavyopuyanga hivi bado wanaendelea tu kuongeza sehemu zingine.Si bora watanue tu barabara ziwe nyingi lakini si BRT maana wameonesha ufanisi wao ni sifuri kabisa.kama serikali mnania ya kurahisisha usafiri Dsm ongezeni barabara ziwe sita au nane kama nafasi inaruhusu na siyo hiyo mi BRT ambayo imeonesha uendeshaji wake ulivyo wa ovyo.
Tunasubiria ujenziNimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake.
Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20
Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19.
View attachment 2363211
Ujenzi wa phase 4 katika jiji la Dar es Salaam unasimamiwa Na tanroads. Ngoja tuone pindi utakapokamilika.
Ila ingewafaa wasitumie yule mkandarasi wa Mbagala to Kariakoo na Mbagala tu Magomeni. Naona design na ujenzi huko chini kidogo ya viwango tofauti na hii phase one ya mwendokasi tunayotumia
Hii Nchi ina mambo ya kijinga Sana na haina watu wa kuangalia mbali.Barabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo... Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao...
Gharama ya mzungu unaijua? Unadhani hawataki kumpa? Wazungu wako expensive kiasi kwamba 30% ya cost itakuwa ni preliminary and Genera items,Mchina hana hizo biashara.Wamrudishe strabag zaidi ya hapo ni upigaji tu....na kwanini tuhangaike wakati tunatakiwa kujifunza kwa walioendelea....Ujerumani ndio nchi inayoongoza kwa miundombinu mizuri duniani. Lakini kwa kuwa watu wanaangalia percent zao utaona anapewa mchina.
Hii nchi inahitaji kuongozwa na mtu mwenye kichwa kama changu. Halafu kwa nini wanahangaika wakati hii miradi mingine haijaisha bado.... Pia ni wakati wa kuangalia mbadala wa petrol, mwendokasi waweke za kutumia umeme au gesi.
Hakuwa mjerumani ni ndugu za Wajermani. Strabag ni AustriaWamrudishe Strabarg yule Mjerumani alikuwa hatari
Hicho kilimo watu wataingizwa kwa mate au pesa? Ukisikia Mwigulu Jana kasema kama watu wanataka tutumie pesa za mikopo kujenga miradi ya pesa.za tozo manake Pesa za kilimo.zisiwepo..KWA MOYO MWEUPE KABISA WAACHANE NA HAYA MAKITU,TUMALIZE MIRADI ILIYOPO!,NGUVU KUBWA ITUMIKE KUWAINGIZA WATANZANIA KATIKA KILIMO CHA KISASA,KWA KUTAYARISHA MIUNDO MBINU YA KILIMO YAANI RURAL ROADS ZOTE,MAKAMBI YA AJIRA ZA WAKULIMA,ILI VIJANA WAENDE HUKO KUENDESHA KILIMO CHINI YA USIMAMIZI FULANI HATA WA MAKABURU,HUKU TUKIALIKA AGRO-INDUSTRY COMPANIES,KUBWA KUBWA.
Wanasema itafuata baada ya BRT kuisha na kana kwamba haitoshi hiyo BRT inaanza kwenda Mikoani na wakitoka Dar wanaanza Dom.Mi nafikiri tunarudi nyuma. Serikali iwekeze kwenye haya madude - Electrical Trams gharama za kuendesha ziko chini hata nauli itakuwa chini vinginevyo tuweke mabasi ya umeme.
View attachment 2363279
Unaijua miundo mbinu kuliko serikali!?Hii Nchi ina mambo ya kijinga Sana na haina watu wa kuangalia mbali.
Haina akili kabisa hii ya Tanzania mfano mdogo tu nikiupe ni huu ujinga unaoondelea kuhusu tozo.Hivi huwa mwaziona serikali hazina akili?
Hawawezi wakamrudisha, bila shaka hakutoa rushwaWamrudishe Strabarg yule Mjerumani alikuwa hatari
Hao unaoita serikali waha hawana hata uchungu na pesa maana kwao hizo miradi ni fursa..Unaijua miundo mbinu kuliko serikali!?