Serikali yatangaza tenda ya ujenzi wa mwendokasi kutoka Maktaba ya Taifa Posta- Mwenge- Ubungo-Tegeta

Mbagala ile barabara ni ya miaka ya 90 na haikuandaliwa kwa ajili ya mwendokasi.
Hapana sema walilipua ndio mana ilibomolewa. Ilivyojengwa walitenga eneo la Mwendokasi kama ilivyo ya Tegeta mpaka Morocco. Utawala wa kikwete mwishoni ilijengwa kama sijakosea muda
 
Hapana sema walilipua ndio mana ilibomolewa. Ilivyojengwa walitenga eneo la Mwendokasi kama ilivyo ya Tegeta mpaka Morocco. Utawala wa kikwete mwishoni ilijengwa kama sijakosea muda
Inawezekana ulikuwa mdogo sana. Barabara hii ilijengwa kwa msaada wa Japan wakati Magufuli ni waziri ikaisha akagoma kuipokea kwasababu ya kiwango kidogo. Wajapan wakairudia kama ilivyotakiwa njia nne kipande kifupi tu miaka mingi imepita njia hii ikatumika kama ilivyo. Mradi huu wa mwendokasi ni mpya wala hauhusiani na barabara ya zamani.
Halafu wewe unazungumzia Mwenge-Moroko mimi nazungumzia Kilwa road.
 
Watanzia tuna mtaka Srabag
 
Hiyo hiyo Kilwa rd. Labda hujanielewa. Kipindi hiko ni utawala wa Kikwete, kama mwendokasi haikutengwa kipindi inajenga mbona daraja za pale bondeni msikitini kabla ya mission, zilipanuliwa usawa wa kuancha mwendo kazi. Kama ulivyosema kiwango ovyo ndio mana imebomolewa.
Sasa tusubiri ya kwenda tegeta kama hawajabomoa, ni mwendo wa jenga bomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…