Hatari kama ni kweliTaarifa za ndani kutoka kwa Mhudumu wa Afya ambaye hakutaka kutajwa jina zimeeleza kuwa kuna wagonjwa wa Kipindupindu wamebainika katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ingawa Mamlaka bado zinajipanga kutoa taarifa au kutotoa kulingana na hali itakavokuwa.
Sababu kuibuka kwa Ugonjwa huo ni hali mbaya ya Masoko ya Chakula yaliyopo Ilala hasa katika kipindi hiki cha Mvua.
.Mi nauliza Tu Sijui lolote nimeikuta sehemuSource ya taarifa ni wewe mwenyewe au?
Aisee uchafu Dar tatizo.Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Kipindupindu muda mfupi baada ya Jamii Forums kuripoti uwepo taarifa za Ugonjwa huo katika Wilaya ya Ilala. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya hadi sasa kuna Wagonjwa 10 waliobainika katika Wilaya ya Ilala ambapo 3 wapo Tabata, na wengine 7 wapo katika eneo la Kivule na Buguruni.
View attachment 2599189
==================
Ilala hadi gongolamboto na VingungutiKweli nimekubali nchi imemshinda Huyu mama.
Kipindupindu ILALA ikulu!!!!
Ilala hadi gongolamboto na VingungutiKweli nimekubali nchi imemshinda Huyu mama.
Kipindupindu ILALA ikulu!!!!