Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Sasa vyoo si huwa vinafurika wakati wa mvua, kisha ule uchafu unasambazwa na maji, na maji hayohayo yenye kinyesi watu wanayatumia kwa namna moja au nyingine (kama kuoshea matunda hayo mnayokula njiani)...hapo unakula kinyesi tu moja kwa moja.Mwalimu wetu Olevel alituambia kuwa ukiumwa kipindupindu maana yake umekula kinyesi