Mpemba Mimi JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 1,656 Reaction score 2,483 Apr 25, 2023 #21 Deo Corleone said: Mwalimu wetu Olevel alituambia kuwa ukiumwa kipindupindu maana yake umekula kinyesi Click to expand... Sasa vyoo si huwa vinafurika wakati wa mvua, kisha ule uchafu unasambazwa na maji, na maji hayohayo yenye kinyesi watu wanayatumia kwa namna moja au nyingine (kama kuoshea matunda hayo mnayokula njiani)...hapo unakula kinyesi tu moja kwa moja.
Deo Corleone said: Mwalimu wetu Olevel alituambia kuwa ukiumwa kipindupindu maana yake umekula kinyesi Click to expand... Sasa vyoo si huwa vinafurika wakati wa mvua, kisha ule uchafu unasambazwa na maji, na maji hayohayo yenye kinyesi watu wanayatumia kwa namna moja au nyingine (kama kuoshea matunda hayo mnayokula njiani)...hapo unakula kinyesi tu moja kwa moja.