Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 955
YNIM,
Kugoma shule kwa ajili ya calculator ni kitu cha kijinga na kipumbavu sana.
Wewe uko Marekani, calculator alikupa nani? si uliinunua mwenyewe? je ulipewa ruzuku? hapana!
Tatizo la UDSM si kilio cha kusema hakuna maji, kama ni hivyo, basi nchi nzima igome kufanya kazi! Kama ni umeme kukatika katika, basi nchi nzima igome kufanya kazi na kuamka!
Unasema, haki yao ya kuchagua Serikali imepindwa, je imepindwa vipi? ushahidi gani ulioko kuwa Uongozi wa Chuo ulifanya kwa kusudi kubatilisha uchaguzi na kuzuia yule Mwanafunzi Mganda?
This is what I see of UDSM and its problems. There is high degree of arrogance which is accompanied with extreme childish behavior in the name of haki zetu!
This has been the culture of UDSM student acting as if they are special priviledged group in our country. The fact that most of students do not want to work hard and earn any money to support themselves, and pay for their tuition, food books and supplies, tells kila mwananchi kuwa there is something wrond with our "intellectuals"!
People need to get real; nothing is for free anymore. I would not be suprised that wataandamana kwa kuwa hawajapewa sabuni na vyoo havna toilet paper!
Wakati kina Mwabulambo na wazee wengine walipoleta mgomo in 70s, they had a cause that was relevant.
Hata migomo iliyokuja baadaye, si yote ilikuwa ya msingi.
Nailaumu Serikali kwa kulea na kuendekeza ugonjwa huu wa kitabia ambao unazorotesha maendeleo ya elimu na maendeleo ya Taifa letu. Hii dhana ya kuwa tegemezi kwa kila kitu inabidi ifutwe. Kelele za kudai sisi ni watoto wa masikini au wakulima zizimwe na zisipewe nafasi hata kidogo kusikilizwa.
It is time that scholarships be awarded to those who trully deserve them. Either you have to receive scholarship due to supreme perfomance on your "A" levels or there is a solid proof that you can not afford to borrow money from Serikali to foot your own school expenses.
Why should I entertain the thought that my tax money is being wasted by ungrateful kids? I have a battle fighting mafisadi using my tax money, but now I have to fight with spoiled bratts?
Get mkopo, get a job, pay for your own damn calculator. If the elevators are not working use the staircase, it is a good exercise!
Rev umenipa kitu kinachoitwa men talk. Wanafunzi magenster ndio wanaochangia migomo ya kishenzi shenzi pale mlimani. Nilishasema kwamba Uhandisi shule yake ni nzito, mitihani ikikaribia na ujasoma nondo zako za static au thermo, unachofanya ni kuanzisha mgomo, mnapelekwa home, unachukua muda ule kusoma then unarudi ukiwa fresh and clean. Huo ndio mchezo.
Unagoma kisa maji? Wakati hapo hapo Ubungo kuna sehemu mabomba yamegeuzwa nguzo ya kucheza makida makida kwa watoto maana yalitoa maji wakati wa mzee mwinyi. Hatuna tabia ya kuanzisha mahojiano kuhusu kitu. Tunajali kugoma. I think it is about the time to clean the mess. Fukuza wote waliokuja kucheza wacha wanataka kusoma