Si kweli kwamba nimesema kuwa hakuna nafasi kwa wanafunzi kufanya kazi wakiwa shuleni. Nimesema kuwa kazi hazipo Dar na Tanzania kwa ujumla ili wanafunzi wafanye.
So it means we are not creative enough to create jobs. We have labor market but no jobs. Is it the sole responsibility of Serikali or society as whole? What is society doing to be creative in creating jobs? What alternatives or programs are being taken to make sure that we have jobs through sole propriatorship, private entities and communities?
So far hili linafanyika kila mwaka according to viongozi wa wanafunzi waliopita - muulize Kitila na Zitto
How do they measure progress? are there any actionable items that have been implemented? if not whose responsibility is to make sure that these plans are executed and guarantee follow up?
Hili pia sikweli, mimi sijalalamikia kazi ila nimesema kuwa hata hizo kazi za ukonda na mengine hakuna. Umesahau kuwa kuna wakazi mamilioni Dar hawana hata hiyo kazi ya ukonda?
I gave a suggestion on Ukonda, mkaniambia I have to be realistic. Sasa my take on this is that kama mimi ni mwanafunzi wa Chuo, I have an advantage kuliko mtu wa darasa la saba. Iweje nishindwe kupata kazi ya mtu wa darasa la saba? Ninaposema mnalalamika, do not take it personally, it not about MwK as a person, but I am talking about UDSM-DARUSO. Yes Dar kuna watu milioni karibu 4, kila mtu ni kuwa mjanja, je ni ubunifu gani unatumika na wasomi wetu kujitafutia kazi?
Rev, hivi umeisahau Tanzania mapema hivi?
Nope sijaisahau hata chembe. Naifahamu sana, nafahamu ukiritimba, mizengwe, ubinafsi, wivu, uhujumu na hata ufisadi. Lakini penye nia pana njia. Ndiyo maana nimekupa mfano wa Mchaga kuchacharika!
Huko kote nimefanya na wadogo zangu wanafanya lakini je tanzania kuna hizo kazi unazozitaja ili wasomi wafanye? Unaijua kasheshe ya kupata hata kazi ya library pale mlimani?
Huko kote wanalipa minimum wage, ulipofanya kazi huko hukuleta ngebe kudai wewe ni graduate au msomi. Ulifanya kazi kwa furaha ukapata pesa zako kukidhi mahitaji. Sitegemei na si kusudio langu kusema Tanzania iwe na Target au Walmart, lakini, je kazi zilizopo wanafunzi wa UDSM wako tayari kwenda kuzifanya hata kama ni kulipwa KCC? Ndio maana nimetumia Ukonda, Bamedi na shughuli nyingine "minion jobs" kama alternatives!
Umetoa alternative kama nzuri sana lakini hali ya Tanzania hizo kazi hata kwa waliomaliza ni shida itakuwaje kwa walioko shule?
Again we are talking about job creativity. Sasa DARUSO katika plan zao wanazungumza vipi na Serikali, Mashirika, Viwanda, Taasisi na makampuni binafsi kuhusu job placement na creation of jobs?
Yote haya yanafahamika ila kumbuka kuwa unaongelea Tanzania. Au unataka watoto waache shule wawe maustler
Nope I do not condone hustling! Hayo ni ya Mponjoli!
So far, elimu ni kitu cha kutegemea toka serikalini. Hakuna serikali yoyote iliyofanikiwa duniani bila kusomesha vijana wake.
Argument si kuwa Serikali isiwe na sera za elimu au kupata Taifa linaloelimika. Suala ni gharama za elimu ni jukumu la nani? Mazingira ya sasa si ya mwaka 1970 wakati wale walikuwa huko walisomwshwa Bure.
Mfumo wa sasa unasema, ukiwa na uwezo kujilipia, njoo, ukiwa huna uwezo wa mali chukua mkopo! kama huna uwezo, je una-qualification za merits kama Academic supremacy au absolute poverty kuwa huna uwezo? Serikali inatoa mikopo, ni lazima irudishwe, sasa kwa nini iwe shida na kazi kuomba mkopo na kufanya commitment kuwa utaulipa?
Tena kwa yule mwenye deni, ndiye atakaye kuwa na jitihada kubwa sana kusoma ili apate kazi alipe deni. Hii ndilo nililokuwa naongelea kuhusu rolling back fiscal responsibility!
Wewe hapa Marekani si umesoma kwa vyote scholarship na student loans, je ulipomaliza shule si umetafuta kazi ili uanze kulipa deni la student loan? sasa kwa nini Tanzania iwe ni vigumu?
Daruso waliomba haya yote kabla ya kufikia mgomo. Kumbuka kuwa ilichukua karibu wiki moja toka fisadi, dikiteta na muuaji Mukandala aingilie uchaguzi mpaka wanafunzi walipoamua kugoma.
Yeye alikataa kabisa kusikiliza wanafunzi kwa vile anajiona yeye ni Prof na nimshauri wa Kikwete so inabidi anachotaka yeye ndicho kifanyike.
You are making assumptions based on one side of story. You have made the issue personal and made your own conclusion kuwa whatever the case Mukandala is evil and is wrong! Hapa siwezi kukupa jibu! Nanawa mikono!