Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
REV,
Issue ya msingi hapa ni suala la Mkandala kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa UD kabla hajaleta polisi kumpiga mama mjamzito asiye na hatia yoyote.
Haya ni tofauti na yote uliyoongelea hapo juu.
Swali moja kwako, je ni halali kwa Mukandala kuingilia uchaguzi wa wanafunzi?
Tamko la Serikali kutokana na kufukuzwa kwa wanafunzi 300 halisemi lolote kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.
Hilo la uchaguzi wa wanafunzi linatumika kama kisingizio na hata wengi hapa mnakimbilia kulitumia kama kigezo.
Sijui ni sheria gani iliyokiukwa na DARUSO iliyosababisha Mkuu wa Chuo kuingilia kati na kusitisha Uchaguzi. Kumbuka DARUSO na katiba zake ni mali za UDSM na mkuu wa Chuo ana final say! Tusikie ni nini kilichotokea kutoka pande zote mbili ndipo tutoe hukumu kama Mukandala kakosea au la.
Majibu yangu yaliyopita yanatokana na hoja aliyoleta YNIM kuwa sababu za mgomo ni kukosekana maji, umeme, calculator na lifti.
La huyu Mganda linalojuliana kwa jamii kupitia vyombo vya habari ni kuwa alitakiwa atoe vitambulisho kadhaa na bado hajafanya hivyo.
Truth of the matter is this, there are few knuckleheads who stir up al this mess. Emotions ran high on other students and their other frustrations were vented through this excuse of Uchaguzi.
Uongozi wa chuo umesema, wale waliosimamishwa watarudishwa Chuoni wakimaliza kesi zao. Wamefukuzwa (simamishwa) kutokana na vurugu ziliotokea tangu February na kusababisha mwanafunzi mmoja kupoteza maisha na makosa ya jinai, including kuvuta bangi, sexual harrasment na kutishia maisha ya wale ambao wasingeunga mkono mgomo.
There are two cases intertwined here and at this stage you can not separate the two.
DARUSO and TAHLISO are shooting themselves in the foot.