Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh! Mi yangu macho!!
Huyo afisa ni msemaji wa serikali ?Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
mmmmmmmh!! Tumesulubishwa sana,tumedharirishwa sana,tumevumilia sana!!haha! Poleni walimu soon mtakula mema ya nchi!!
Bora kudanganya uongo mrefu kuliko uongo mfupi maana uongo mfupi hauna siku nyingi utabainika.Mbona unamfundisha woga mwenzio (unamtishia).
Wewe mwenyewe hapo ni muongo maana umetumia jina na avatar feki je kuna mtu amekutishia kwa hilo?
Vp kama zikitoka utasemaje?
Leo ndo tareh 26 post zitoke tumechoka kusugua gaga mtaani
nikupe namba ya mtu alie jikoni akuhakikishie kwamba hata kesho ni urongo..??
uwalimu ni umasikini
mleta mada ni mbula tu, haonyeshi chanzo cha habari wapi, acha umbea ajira hakuna mwaka huu kwa hali unavyo iona,
huyo mtu wa jikoni anatuhusu nn? kazi yake ya kupika tu, sasa yeye atahusika vp na mambo ya ajira za wasomi, usiwe na akili ya panzi ww!!