Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Hakyanani! usiku wa deni haukawii kucha, leo tutawajua mashushu wetu@
 
mtoa post mwenyewe kapotea cjui kala kona ya wapi mwongo utamwona tu.
 
Kama ni uongo halafu ikiwa na yeye aliyetoa taarifa anasubiria sasa si atakuwa na yy yumo miongon mwa waliodanganywa faida iko wapi sasa
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
Huyo afisa ni msemaji wa serikali ?
Bangi ndo zina kusumbua kichwani,
Ila tambua kuwa wehu unakunyemelea.
 
Mbona unamfundisha woga mwenzio (unamtishia).
Wewe mwenyewe hapo ni muongo maana umetumia jina na avatar feki je kuna mtu amekutishia kwa hilo?

Vp kama zikitoka utasemaje?
Bora kudanganya uongo mrefu kuliko uongo mfupi maana uongo mfupi hauna siku nyingi utabainika.
 
Leo ndo tareh 26 post zitoke tumechoka kusugua gaga mtaani

Usidanganyike na porojo za uongo wewe huon hata mtoa mada kesha ingia mitini?ajira hadi april 1 na si vinginevyo
 
nikupe namba ya mtu alie jikoni akuhakikishie kwamba hata kesho ni urongo..??

huyo mtu wa jikoni anatuhusu nn? kazi yake ya kupika tu, sasa yeye atahusika vp na mambo ya ajira za wasomi, usiwe na akili ya panzi ww!!
 
Subra yahitajika jaman tushakaa mda gani tushindwe palipobakia, tukubali na tuamin tu sis ni muhim ktk jamii na muda ukifika tutaitumikia jamii waachen hao waropokaji
 
mleta mada ni mbula tu, haonyeshi chanzo cha habari wapi, acha umbea ajira hakuna mwaka huu kwa hali unavyo iona,
 
mleta mada ni mbula tu, haonyeshi chanzo cha habari wapi, acha umbea ajira hakuna mwaka huu kwa hali unavyo iona,

Jamaa kawadanganya pitia hapa kuna updates www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/608145-ajira-za-walimu-2013-2014-zasitishwa-3.html#post8805609
 
huyo mtu wa jikoni anatuhusu nn? kazi yake ya kupika tu, sasa yeye atahusika vp na mambo ya ajira za wasomi, usiwe na akili ya panzi ww!!

watu wana hasira,,
taratibu ndugu ., mwl., ni mtu mvumilivu.
 
Back
Top Bottom