UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 740
- 903
Hali ni mbaya wazee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado anakupumulia kisogoni tu?Bado unawashwa na hayati tu
Kweli KabisaHali ni mbaya wazee...
Doing the same thing the same way and expecting different resultsWhat is INSANITY?
Doing the same thing the same way and expecting different resultsWhat is INSANITY?
Huyu hangaya kashindwa hii ligi mapema Sana, sipati picha second half yake 2025-2030Serikali ambayo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi, serikali hiyo haina credibility ya kuhoji vitu kupanda bei kwa sababu ufisadi ndiyo sababu namba moja ya bidhaa kupanda bei katika Taifa.View attachment 2085253
View attachment 2085254
Huyo waziri anajamba halafu anaongeza sauti ya headphone zake ili wengine wasisikie. Jinga kubwa.Kupotezeana wakati.
😀 😀 😀 Huko ndio wanakookotezea kodi mkuu, wakifunga watatujazia matozo mpaka tukimbilie Burundi.Siku hiz wengi wanaogopa majuice ya viwandani.maji yananyweka zaidi.
Hata wangefunga kabisa hayo majuice masoda yenye misukari ya kuokoteza.inaongezea serkali gharama za matibabu
NDIOBado unawashwa na hayati tu
Sijui akipewa hizi sababu atasemaje! Wanaamuru utadhani hawajui mazingira ya uzalishaji nchini.Sababu ni hizi..
1. Uhaba wa maji
2. Mgao wa umeme.
3. Kupanda kwa bei za nishati (gesi na petrol)
4. Kodi, ushuru na tozo.
RushwSababu ni hizi..
1. Uhaba wa maji
2. Mgao wa umeme.
3. Kupanda kwa bei za nishati (gesi na petrol)
4. Kodi, ushuru na tozo.
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei...
Sukari beijuuSababu ni hizi..
1. Uhaba wa maji
2. Mgao wa umeme.
3. Kupanda kwa bei za nishati (gesi na petrol)
4. Kodi, ushuru na tozo.
Sababu ni hizi..
1. Uhaba wa maji
2. Mgao wa umeme.
3. Kupanda kwa bei za nishati (gesi na petrol)
4. Kodi, ushuru na tozo.
Hii kauli ya rais Samia haina afya kwa mustakabali wa taifaSerikali ambayo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi, serikali hiyo haina credibility ya kuhoji vitu kupanda bei kwa sababu ufisadi ndiyo sababu namba moja ya bidhaa kupanda bei katika Taifa.View attachment 2085253
View attachment 2085254