MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ujenzi wa madarasa nchi nzima walitegemea vifaa vitoke wapi? Hii surge in demand, kwani kulikuwa na surge in production?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TASAC kuwa regulator na player wanachelewesha mizigo ya wateja wao. Kazi ya kusimamia wameiacha wanafanya kazi ya clearing. Unawezaje kuwa referee na hapohapo mchezaji? Watenganishe majukumu wawe Regulators tu.Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Soda na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika ghafla soda zimerudi na bei iko juu.
===
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mh. Ashatu Kijaji ametoa siku tatu kwa Tume ya Ushindani (FCC) kutoa sababu ya kupanda kwa bei za vinywaji baridi nchini ambapo pia ametoa siku saba kwa Tume hiyo kueleza sababu za kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi sambamba na hatua ambayo Tume hiyo imechukua kuhusiana na kupanda kwa bei hizo.
Chanzo: ITV habari
View attachment 2085855
Hawajaridhika shida hawana cha kufanya maana hawezi badirisha chochote zaidi ya kelele tuTanzania watu wameridhika.. mtu akishapata chakula hana shida ya kupambania sijui umeme, maji ya bomba safi, elimu nzuri nk. Hio haitabadilika leo sababu chakula nchi hii kipo kingi sana.. Tungekuwa jangwa kama Somalia , CCM wangeisoma namba
Insanity ndio hii sasa mkuuWhat is INSANITY?
Mkuu mbona exemption zipo sana tuuKupanda kwa vifaa vya Ujenzi kumechangiwa na kutokuwepo kwa msamaha wa kodi kwenye miradi mingi ya Kiserikali inayotekelezwa nchi nzima.
Sababu nyingine ni kutokuwepo kwa bei elekezi ya vifaa vya Ujenzi hasa Nondo, Saruji, Vioo,bati,vyuma/pipes/n.k,Aluminium profiles, vigae, rangi, vifaa vya umeme,sanitaries/bomba na mbao kulingana na ubora.
Ikiwezekana FCC itumie agizo la Mh. Waziri kufanya review ya bei za bidhaa kwa kushirikiana na AQRB/Quantity Surveyors ili kuweka uzani wa bei kulingana na ubora, upatikanaji wake na jiographia ya nchi.
Kinamuuma nini? Soda ni luxury. Bei ya mafuta mbona hauulizi?Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Soda na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika ghafla soda zimerudi na bei iko juu.
===
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mh. Ashatu Kijaji ametoa siku tatu kwa Tume ya Ushindani (FCC) kutoa sababu ya kupanda kwa bei za vinywaji baridi nchini ambapo pia ametoa siku saba kwa Tume hiyo kueleza sababu za kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi sambamba na hatua ambayo Tume hiyo imechukua kuhusiana na kupanda kwa bei hizo.
Chanzo: ITV habari
View attachment 2085855
Na vifaa vya ujenzi maji yanachangiaje?Sababu ni hizi..
1. Uhaba wa maji
2. Mgao wa umeme.
3. Kupanda kwa bei za nishati (gesi na petrol)
4. Kodi, ushuru na tozo.