Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

Inawezekana kwenye maeneo ya joto hausababishi dalili kali, kwa huku afrika mziki upo kwenye HIV, ebola na nzige
 
Tuna IGP imara mwenye jeshi "Kabambe" la kupambana na kutokomeza Corona.

After all, waziri wetu mpendwa wa Afya alisema sisi tuna immunity.

Hatuna hofu chini ya utawala wa Jemedari JPM.
 
Kenya Rais Uhuru Kenyata ameteua tume/watu wa kushughulika na corona tu. Hapa kwetu hivi ana mikakati gani ama yupo bussy na Membe?
Watalii toka China wataenda kuangalia kima hao hawaambukizwi korona, sie tuko chonjo kwa kila Jambo kuanzia Ebola membe surua tetekuwanga mafua ya ndege polio miwaya
 
Serikali Ya Wanyonge Inamwaga Ajira Tele Za Madaktari
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ameshafanya Kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…