tilmikha JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 496 Reaction score 604 Feb 29, 2020 #61 Kenya iliwabidi wafanye walichokifanya kwakua tishio kwao ni kubwa mno, naamini na hapa kwetu watakua washajipanga kwa hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya iliwabidi wafanye walichokifanya kwakua tishio kwao ni kubwa mno, naamini na hapa kwetu watakua washajipanga kwa hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Feb 29, 2020 #62 Unataka ateue mwenyekiti wa tume ya kuthibiti korona? kwani wizara ya afya hawana kitengo cha kukabiliana na magonjwa ya mlipuko...au wapo tu wanakodoa mimacho..
Unataka ateue mwenyekiti wa tume ya kuthibiti korona? kwani wizara ya afya hawana kitengo cha kukabiliana na magonjwa ya mlipuko...au wapo tu wanakodoa mimacho..
Black Mirror JF-Expert Member Joined Oct 17, 2019 Posts 919 Reaction score 1,192 Feb 29, 2020 #63 Sisi kodi kwanza mengine baadae Sent using Jamii Forums mobile app