Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.
Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.
Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.