Serikali yatumia nguvu kubwa ya Polisi kutaka kuzuia kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari

Hawa Mapolisi washonewe sare za kijani tu na wawekewe logo ya CCM kwenye kofia badala ya nembo za taifa.

Kuliko kudanganyana.
 
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.

Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.

Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.

View attachment 2771326
Naomba kazi ya strategist wa Sauti ya Watanzania. Tusipo badili mbinu hao jambazi wa bandari watatushinda
 
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.

Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.

Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.

View attachment 2771326

Waache ujinga hao polisi.
 
Uvunjaji amani na uchochezi nyuma ya pazia la udini haufai. Acheni kupeleka nchi kusiko kwenye madhara.

Wewe ndio una element za udini. Wakati akina Lissu wanapambana na Magufuli hamkusema ni udini. Very stupid
 
oooh magufuli dicteta Samia anaongoza vizurii nyenyenyenyeee.haya Kiko wapiiiii kikowapiiii?

magufuli miaka mia asingeuza bandari umeme usingekatika reli ingekamilika

lakini watu nyeee nyeee nyeee maamae

Wote ukoo wa panya. Hakuna mwenye nafuu.
 
Kenge hafi mpaka atoke damu masikioni, CCM inabidi watimuliwe ikulu kwa risasi, siku vifaru vya jeshi vikiizingira ikulu, na kumpiga pingu samia, na kikwete, itakuwa mwanzo mzuri Sana kwa nchi
 
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.

Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.

Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.

View attachment 2771326
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Sasa wanatofauti gani na Hayati Dikteta Magufuli?

Au tofauti ni mtandio tu.
Waruhusu waje waandamane nyumbani kwako sisi hatutaki vurugu maana hatuna nchi nyingine ya kukimbilia
 
Tofautisha maandamano ya amani na Riots.

Hayo ni mawazo ya kahawa chungu.
 
Kenge hafi mpaka atoke damu masikioni, CCM inabidi watimuliwe ikulu kwa risasi, siku vifaru vya jeshi vikiizingira ikulu, na kumpiga pingu samia, na kikwete, itakuwa mwanzo mzuri Sana kwa nchi
UASI...

MUASI....

Jidanganye....

CCM ni zaidi ya chama cha siasa...

Kalaghabaho

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni zaidi ya chama kwa sababu ni wezi wa mali ya umma, wajinga,akili ndogo, wanaogopa maoni huru,
Watu wenye mfumo kama wa CCM, ni China, Russia, Hata Iran, lakini angalia wenzetu, uchumi wa viwanda vikubwa, vya siraha, tekinolojia, magari nk, kenge wa CCM baada ya miaka 60! Wanawaambia wananchi,ukiwa na vyereani Vita tu, ni kiwanda! Ukiendesha boda, hiyo ni ajira!
 
Nimesikitishwa baada ya kusikia wamefukuzwa kula kwenye Cafeteria inayomilikiwa na St Augustine University.
 
Back
Top Bottom