Usisahau hakuna njia inayopitika kirahisi around the market pamoja na kuwa na lamiKuna yule Kamishna Mkuu wa Zimamoto aliwahi kutumbuliwa enzi za JPM kwa tuhuma za kusaini mkataba aghali wa vifaa vya Zimamoto saa hizi atakuwa anachekelea tumboni. Alidhalilishwa sana kama mnakumbuka japo kwa sasa nadhani ana kau- RC sijui wapi huko...
Hapo wamekosea kuunda kamati. Kawaida Fire wanapaswa wasubmit investigation report. Na wanapaswa waweke wazi fire inspection ya mwisho ilifanywa lini hapo kariakoo, na mapendekezo maana kwa layman pale kulikuwa na mambo mengi tu ya kurekebisha...
Yaani kamati ziko nyingi lakini hatuoni tija yake.Kamati kamati kamati...per diems
Baraza lijue kwani panawahusu? Sasa ndiyo pameungua wanalipana posho kuchunguza hasara ambayo hata ikifahamika wafanyabiashara hawatalipwa fidia.Ule mkataba ulikuwa unaleta Dron hapo sokon ingefanyaje kazi? Lakini ata hivo huwezi kufanya mipango ya kusaini mkono wa takriban Trilion 1 huku baraza la waziri halijui chochote
Kamati ni mjumuiko wa vyombo mbalimbali,vinavyopaswa kufuatilia kujua nini kimetokea,,Kwa nini badala ya kamati vyombo tofauti visichunguze? Kwa nini lazima iwe ni KAMATI?
Kamati ni mjumuiko wa vyombo mbalimbali,vinavyopaswa kufuatilia kujua nini kimetokea,,
Unaweza kuita vyovyote unavyotaka,kamati,chama,jumuia,kikundi,etc
Kwanini usubiri daladala wakati pale unaweza kutembea ni mwendo wa dk 10 tu kwa miguu.Makao makuu ya Fire ni pua na mdomo na soko kuu la Kariakoo
Kwa daladala nauli ni tsh 300 tu!
Mama anaupiga mwingiNdio CCM hiyo
Synergy,,,Kwa nini iwe mjumuiko wa vyombo vyote na sio kila chombo kichunguze kivyake na kitoe ripoti yake?
... uko sahihi. Maisha ni bora kuliko mali. Kuliko kuumiza machinga waliotanda barabarani ni bora huo msoko uungulie mbali.Usisahau hakuna njia inayopitika kirahisi around the market pamoja na kuwa na lami
Tumeachia machinga wakamate mamlaka
SoMo kubwa Sana hili
Habari ndio mkuuKamati kamati kamati...per diems
Kwani nani kakuambia hawachunguzi?Kwa nini badala ya kamati vyombo tofauti visichunguze? Kwa nini lazima iwe ni KAMATI?
Wanamuacha mtu kama Mbatia ambae ni fani yake kisa mpinzani. Katika hilo nashauri wale walio achishwa kazi na Mh. Rais wawe chini ya ulinzi asap.Kamati kamati kamati...per diems
Synergy,,,
Itakua vurugu mechi, kwamba Tanesco achunguze kivyake, osha kivyake, bima kivyake, polisi kivyake,mkandarasi kivyake etc
Huo sio uchunguzi, ni vurugu mechi.
Zimamoto wenyewe wanatosha kufanya uchunguzi na kutoa majibu.
Wanamuacha mtu kama Mbatia ambae ni fani yake kisa mpinzani. Katika hilo nashauri wale walio achishwa kazi na Mh. Rais wawe chini ya ulinzi asap.