DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Kwenye team sijaona Idara ya FireHabari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa soko kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na wafanyabiashara na umma kwa ujumla...
Kama ishu ni criminal, zimamoto hawana utaalamu wa kubaini, iwapo kuna hujuma, milipuko, chemicals etc.Hilo ni suala linalohusu jeshi la zimamoto.Wakiona kuna hujuma ndio watawaita polisi .
Tanesco, Osha na Bima, mkandarasi wa nini? Au jeshi la zimamoto halina utalaamu wa kubaini vyanzo vya moto?
Mchora ramani wa KARIAKOO aliweka parking kuzungika soko, MWENDAZAKE akasema WANYONGE/MAFUKARA wapange biashara, kuzunguka soko.Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa soko kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea...
Kama ishu ni criminal ,zimamoto hawana utaalamu wa kubaini,iwapo kuna hujuma,milipuko,chemicals etc.
Hawana capacity ya kufanya forensic investigation
hao machinga karibu wote wana taa za kuchaji na huwa wanaziacha, na simu mbovu, hebu acheni kusumbua watu eti tume, what a fk.Kama ishu ni criminal ,zimamoto hawana utaalamu wa kubaini,iwapo kuna hujuma,milipuko,chemicals etc.
Hawana capacity ya kufanya forensic investigation
Enzi hizo nikiwa mdogo, network ya maji mijini, ilikuwa na hydrants. Ilikuwa ni kwa ajili ya kusaidia kujaza maji kwenye magari ya fire. Viungio vyake vilikuwa special couplers ambazo zilikonectiwa kwa wepesi kwenye mabomba ya magari.Miaka yote hii hakuna mikakati ya kukabiliana na majanga? Kama kujaza maji kwenye magari kumeshindikana ndiyo wataweza kutengeneza mkakati?
Mfumo haujaondolewa, upo sana tu, MWENDAZAKE aliwaambia machinga wajenge juu ya hiyo mifumo, service road na mbele ya maduka ya watu, tunaanza kuvuna tulichopanda.Enzi hizo nikiwa mdogo, network ya maji mijini, ilikuwa na hydrants. Ilikuwa ni kwa ajili ya kusaidia kujaza maji kwenye magari ya fire. Viungio vyake vilikuwa special couplers ambazo zilikonectiwa kwa wepesi kwenye mabomba ya magari.
Nashangaa kwa nini mfumo huo uliondolewa. Katika hili kamati au idara ya maafa ofisi ya Waziri Mkuu lazima ilaumiwe.
Tumeshuhudia majanga mengi, hasa maeneo ya mjini. Ni aibu mpaka sasa magari kujazia maji mtoni.
Tangu mwaka 47,soko lipo,leo ndo simu zilipue jengo kweli?,tena baada ya watu fulani kufutwa kazi?.hao machinga karibu wote wana taa za kuchaji na huwa wanaziacha, na simu mbovu, hebu acheni kusumbua watu eti tume, what a fk.
Usishangae kusikia viling'olewa vikauzwa vyuma chakavuEnzi hizo nikiwa mdogo, network ya maji mijini, ilikuwa na hydrants. Ilikuwa ni kwa ajili ya kusaidia kujaza maji kwenye magari ya fire. Viungio vyake vilikuwa special couplers ambazo zilikonectiwa kwa wepesi kwenye mabomba ya magari.
Nashangaa kwa nini mfumo huo uliondolewa. Katika hili kamati au idara ya maafa ofisi ya Waziri Mkuu lazima ilaumiwe.
Mchora ramani wa KARIAKOO aliweka parking kuzungika soko, MWENDAZAKE akasema WANYONGE/MAFUKARA wapange biashara, kuzunguka soko.
MKARARASI alijenga bomba za fire kunyonya maji , WANYONGE WAMEJENGA MABANDA NA KUZIBA SEHEMU ZA KUCHUKUA MAJI.
Hela za tume zielekezwe mikoa ya kusini kuwakata mikono sweta, Tatizo mmelitengeneza wenyewe kuweka machinha nchi nzima barabarani, bodaboda kupaki sehemu za watu kupita na kusababisha ajali nyingi alafu eti mnaunda tume., what a shame.
1.Hapa wangechunguza simu za Viongozi waliosimamishwa (kuangalia mawasiliano yao na chat za aina zote).Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa soko kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na wafanyabiashara na umma kwa ujumla....
Yuko sawa daladala hata ushuke mita 100 utalipa 300/400Bwashee isijekuwa na wewe una faili kule maeneo yani nauli ya 300 kwa Dar ni karibu?
Anachoweza ni kupiga kiwi nyeusi kichwani mwake tuHuyo waziri Mkuu aache utapeli wa kujifanya anaunda tume zisizo na tija. Aseme taarifa ya ile tume ya moto wa lori la mafuta iliishia wapi. Kama kweli hizo tume zina tija kwenye hayo majanga, mbona alificha taarifa ya lile janga la moto ya lori la mafuta Morogoro, hata baada ya kusema hiyo ripoti itawekwa wazi? Wafanyabishara huyo waziri Mkuu hana jipya hapo, bali anaweletea usanii tu lakini hana msaada wowote.
Tupe ripoti ya wataalamu wa tume iliyoundwa na waziri mkuu kwenye janga la moto wa lorry huko Morogoro. Huyo waziri Mkuu ni tapeli aliyerasimishwa.Dah hizi social media bana,kila mtu amegeuka kuwa mkosoaji cku hz.Sasa ajali imetokea serikali imeunda kamati ya wataalam watu mnakosoa,cjui mnataka life liendelee as if hakijatokea kitu
Kamati ni mjumuiko wa vyombo mbalimbali,vinavyopaswa kufuatilia kujua nini kimetokea,,
Unaweza kuita vyovyote unavyotaka,kamati,chama,jumuia,kikundi,etc