Halafu ukute hata insurance ya jengo hamna, na kama ilikuwepo iliexpire. Sasa muziki wa fidia kwa hao wafanyibiashara. Very Sad. Lazima serikali ibadilike aisee.Kwenye sehemu za umma ambazo serikali ndio muwajikabi hizo sheria hazifuatwi, lakini taasisi za binafsi utakuta watu wa fire brigade wanashinda hapo kufanya ukaguzi...
Hawa hawa zimamoto wanaokuja kwenye eneo la tukio bila maji? Ndio wapewe dhamana ya kusimamia uchunguzi?Zimamoto wenyewe wanatosha kufanya uchunguzi na kutoa majibu.
Na ameshafanya uchunguzi na kugundua ni hujuma!na wala sio electric fault au sababu nyingine,sasa nimeelewa why hatuhitaji idara ya forensic ndani ya idara zetu za kiusalaamaGENTAMYCINE kuna mtu ameiga ideas zako huku.