johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kwenye chama kuna siasa na serikalini kuna uhalisia!Kwa hiyo kwenye chama ndiko waliko wasio na uelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye chama kuna siasa na serikalini kuna uhalisia!Kwa hiyo kwenye chama ndiko waliko wasio na uelewa?
Anachomaanisha ni kuwa kwenye chama ndiko walipo wajinga.Kwa hiyo Serikali ni kubwa kuliko Chama? Mene mene Peresi na Tekeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za Tanzania au siasa za wapi unazoongelea?kuna siasa isiyohusika na uongo? au kuna mwanasiasa asiye muongo? mbona unataka kuchanganya mambo, uliyoyataja hapo ndo maana ya siasa za wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
muna taabu sana ninyi...!! Kuwaza kwenu ni 'kichaa' anaweza kuuelewa.Baada ya kuona hakuna ndege unayo kuja siyo??
Kwa wanaccm siasa ni uongo ndo maana kwa zaidi ya miaka 58 ya Uhuru chini ya utawala wa ccm ujinga,umasikini na maradhi bado Tanzania ni nyumbani kwao huku chama kikitumia robots zinazolipwa mshahara Kati ya laki mbili na milioni mbili kusalia madarakaniSiasa hazina maana ya upumbavu.
Ni makosa makubwa sana kufikiria kuwa siasa inahusika na udanganyifu, ujinga, uongo na upumbavu.
Kiufupi Serikali bora ingeongozwa na Mzee Mgaya.....hii ya awamu ya tano haiko seriously kupambana na Korona..Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.
Source: ITV habari!
Asante sana. Tulisema tangu awali ila serikali ikatia pamba masikioni. Jana Polepole anajigamba kuwa Corona tutapambana nayo kwa kutumia vyombo vya dola kama tulivyoidhibiti CHADEMA.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa.
Source: ITV habari!
Kwa hiyo siasa kazi yake ni kuongea hovyo hovyo bila speed governer?Watanzania wengi hamjui kutofautisha siasa na uhalisia ndio maana vitu vyengine huwa mnaongea mpk misuli ya shingo inakakamaa shingo zinashindwa kujipinda[emoji57]
Kwa hiyo siasa kazi yake ni kuongea hovyo hovyo bila speed governer?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwa uelewa wako siasa ni nini?Kwenye chama kuna siasa na serikalini kuna uhalisia!
Wakati wengine wanacoroneshwa Kigwangalla piga hela,nataka wizara yako izalishe fedhaSerekali ya matahira! Badala ya kufunga mipaka wanaomba watalii kuhairisha kuja?!