Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

Mkjj Mimi Nitakupigia Kura Ukienda Kugombea Ubunge! Kweli Give It A Shot. Ni Vigumu Kufanya Mabadiliko Ukiwa "ughaibuni"! Tunakuhitaji Uje Nyumbani Tafadhali. Maana Hii Ni Raslimali Tunayoihitaji!! Please Hima Hima Rudi Home Mkjj!!!!
 
Mikuki... do you really think I have a chance? sidhani watapenda niwe hapo, waliwashindwa kina Gandhi, Martin Luther, Mandela, n.k... watu wenye mawazo kama ya kwangu watawala hawawapendi hata kidogo! Sisemi mimi ni kundi la magwiji hao lakini my thoughts and positions have been greatly influenced by them.

From MLK I read "the Letter from Birmingham Jail" read it.. you'll love it!
From Gandhi, is that movie by the same name
From Mandela, it was his defence in Rivonia Trial at the Pretoria Supreme Court.

Unless I change my positions, sifikiri kama Tanzania inanihitaji. Nitaendelea kupiga kelele kama Yohana mbatizaji tu nyikani. Siwezi kukaa nyumba moja na Herode, nitawehuka!
 
Mwanakijiji,
Mimi ni Mkristo na ninaamini kabisa kwamba "Letter from Birmingham Jail"inahitaji kuingizwa kule kwenye Agano Jipya, kabla ya Revelations ili Wakristo waone jinsi wakristo wenzao walivyopitia majaribu ya kikaisari na kuendelea kushikilia imani ile ile katika enzi hizi. That is also my favorite---hasa pale anapotoboa unafiki wa Makasisi wenzake, utadhani Yesu anawahubiria Mafarisayo waliyokuwa wanajidai kuwa wanajua kila kitu kumbe ni wanafiki wakubwa. Kingine alichoandika MLK Jr. kama hujakisoma tafuta kile kitabu "Why We Can't Wait." Bwana eeeh!
 
Mwkjj,
Kwa kuongezea tu, lazima turudi nyumbani. Tusimwogope Herode. Hata kwenye Biblia alikuwa na siku zake. Ziliisha. Lazima tuirejeshe ile Tanzania iliyokuwa katika ndoto ya waanzilishi wa TANU, akiwemo Mwalimu Nyerere.
 
Mikuki... do you really think I have a chance? sidhani watapenda niwe hapo, waliwashindwa kina Gandhi, Martin Luther, Mandela, n.k... watu wenye mawazo kama ya kwangu watawala hawawapendi hata kidogo! Sisemi mimi ni kundi la magwiji hao lakini my thoughts and positions have been greatly influenced by them.

From MLK I read "the Letter from Birmingham Jail" read it.. you'll love it!
From Gandhi, is that movie by the same name
From Mandela, it was his defence in Rivonia Trial at the Pretoria Supreme Court.

Unless I change my positions, sifikiri kama Tanzania inanihitaji. Nitaendelea kupiga kelele kama Yohana mbatizaji tu nyikani. Siwezi kukaa nyumba moja na Herode, nitawehuka!

Aisee Mzee Mwanakijiji, 'The Letter From Birmingham Jail' is a masterpiece. I'm sure you've heard the accussations that MLK plagiarized his PhD dissertation, but that letter shatters/ shattered all those false accussations! When he wrote that letter, MLK had no outside sources other than a pen, pieces of paper, and his intellect.

Halafu kwa sisi tunaoishi Atlanta, tulikuwa na bahati ya kwenda kuona maandiko yake pale Morehouse yalipowekwa for the public to see. It was unbelievable. They had everything....from his grades in high school to college. Can you believe that he got a C in English and that he was neither the valedictorian nor the first in his class?!?!?! And look how he turned out to be......
 
Nyani, hakuna kitu kinachoweza kuminspire mtu kama kujua kuwa kuna injustice! the knowledge that there is in fact injustice somewhere and nobody is trying to address it, ni kama maono ya mbinguni. My first love in love has always been writing, music, and religion. Ni baada ya matukio kadhaa yaliyotokea Tanzania, nikaamua kuchukua interest katika siasa. Nina hamu siku moja nifike kwenye nyumba ya makumbusho ya MLK.. it'll be a dream fulfilled.
 
Nyani,
Kumbe uko Atlanta? Nibeep kwenye PM tuwasiliane. Unajua hata Mwalimu alivyokwenda Uingereza hakuwa "hot potato." Alikuwa mwanafunzi wa kawaida tu. Lakini hawa watu, MLK na JKN inaonekana they grew by experience. Uzuri ni kwamba wote walisoma sana, na walikuwa na sense of mission. Mwalimu got better as the years and experience went by, so did MLK jr. I have a few of his sermons on record and as a Christian I feel energized to see people like him existed in our time. Nakumbuka alivyomkasirisha Lyndon Johnson mwaka 1967 alivyoanza kuzungumzia vita ya Vietnam na kuvihusisha na juhudi za ukombozi wa Waafrika ndani ya Marekani. I knew his days were numbered.
 
Unajua kuwa watu wengi prominent walikuwa watu wa kawaida tu mashuleni kwao: mmojawapo ni Albert Einstein, ingawa alikuwa na mwalimu mzuri sana Minkowski. Hata hivyo huwa si vipunga pia.
 
Mwanakijiji,
kama siku unapata nafasi ya kwenda kwenye makumbusho yake, itakuwa freshi zaidi ukipitia pia pale Ebenezer Baptist Church kwenye mtaa wa Auburn Avenue na Morehouse College.

Jasusi,
MLK alikuwa ni kiongozi wa aina yake kwa kweli hasa ukizingatia kuwa mambo yote ali-accomplish akiwa bado kijana mdogo. Kumbuka kuwa alikufa akiwa na umri wa miaka 39 tu! Halafu unajua kipindi cha Vietnam alivyoanza kupinga vita wakaanza kumwita mkomunisti lakini angalia sasa, he was right! Anyway, mimi nipo hapa ATL mzee. Cheki PM yako basi
 
Nyani,
Asante sana. Nilipita hapo Atlanta on a tour. Tulitembelea nyumba ya zamani ya MLK jr, tukafika Ebenezer na nikapata bahati ya kukutana na Andrew Young na kasisi Lowry, nadhani huyu ndiye aliyechukua nafasi ya MLK kwenye Southern Leadership Conference.. So my memories of Atlanta are very fresh. Halafu people are so friendly kibao. Kwenye bus unaona watu wanawapisha bibi wazee viti. Hivi bado ni hivyo? Huku kwetu ukishaparamia kiti hakuna cha kuona kizee au kilema.
 
Eeeh bwana bado kuko hivyo hivyo. Si unajua tena mambo ya Southern Hospitality.....Ila sijui ulipita lini lakini huu mji katika miaka 10 iliyopita umekua na kubadilika sana. Watu kutoka majimbo mengine wamehamia na wanazidi kuhamia kila kukicha kwa hiyo na utamaduni na wenyewe unakuwa unabadilika kidogo kidogo
 
Kule Ukraine kuna baridi, sasa kama wakishikwa na Nu-monia wakafariki serikali ya JK itasema nini? Unafahamu mambo mengine ni ya kujitakia JK, EL etc. Mnacheza na maisha ya watoto wa wenzenu, nakumbuka BWM aliruhusu mke wa kigogo moja kutibiwa Canada na pesa ya walalahoi haikuwa pesa iliyotoka mfukoni mwake.

Viongozi mmpewa dhamana na WTZ.
 
Ukraine1.jpg

Wanafunzi wa Kitanzania waliotelekezwa na serikali yao walipowasili nje ya Ofisi ya Ubalozi wa Uingereza mjini Kiev karibu siku nane zilizopita.

ukraine2.jpg

Picha hii imechukuliwa jana, mara baada ya serikali kuendelea kukaza uzi kuwa "haiwatambui" vijana hao wa Kitanzania.

News Alert:

- Kuna habari mbaya ambazo zinaingia sasa hivi kutoka Ukraine... natetemeka hata kuwaambia kwani haina maana nitajitahidi kuwasaidia vijana hawa kivyangu vyangu maana hata watu wa JF wengi ni porojo tu!!! Wakati wa kuhesabiwa ulipofika ni watu sita walioonesha ujasiri wa kusimama na vijana hawa! Of course, I know kuna kila aina ya excuses!!
 
JK what the hell are doing at state House?
 
Hizi picha zaweza kutumiwa na chombo chochote cha habari cha nyumbani, ziandikwe "kwa hisani ya Jamboforums.com"
 
MBONA HAKUNA STAEMENT TOKA KWA WAFUATAO
-IKULU
-WIZARA YA MAMBO YA NJE-waziri MEMBE
-ELIMU YA JUU-balozi MSOLLA
-BALOZI WETU HUKO RUSSIA




skendo linaendelea wiki ya pili hiii lakini watu wako kimya as if nothing is going on
 
WAKO WAPI WACHAMBUZI MAHIRI WA MAMBO HUMU JAMBO FORUMS KAMA AKINA
KYOMA
TAFITIJADILI
KULIKONI
na wenhineo? au hii siyo muhimu?


ca16.jpg


HUYU PROFESA NAYE KIMYAAAAAAAA...

c1.jpg

JK ENZI HIZO ALIPOKUWA MTU WA WATU.....sasa hivi serikali yake inaona sawa hawa WATANZANIA WALALE KWENYE MAHEMA KULE KIEV KAMA WAKIMBIZI WALIOPO NGARA....aibu

xx7.jpg

MWALIMU ANGEKUWA HAI WANGEFANYA HIVI KWA HAWA HAWA WATOTO?

xx32.jpg

WATAWALA WETU NA SUTI ZAO ZA TAILOR MADE ZA DOLA ELFU TANO

os11.0.jpg

LAKINI MSIPATE TAABU KWA SABABU WAKIRUDISHWA HAO VIJANA WANAWEZA KUFANYA KAZI HIZI..HAMNA TABU....NGUVU ZA MASINI HIZO...ARI MPYA NGUVU MPYA

why.jpg

LABDA NDIO SWALI WANALO JIULIZA HAWA VIJANA WETU

mbigiri.jpg


Igunda.jpg

HALI HALISI ON THE GROUND

bunge.jpg

BUNGE LETU NDIO HILI NA WAO HAWANA HABARI....
 
Back
Top Bottom