Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

Lunyungu niko very serious..!! Mkandara.. nashukuru kwa moyo huo nimepata watu wengine wachache ambao wako tayari kuwasaidia vijana hawa.
 
waheshimiwa, ninajaribu kutafuta njia ya uhakika na ya haraka ya kuweza kuwafikishia misaada vijana hawa. Tafadhili keep checking this thread for any new development.
 
Tunahitaji kupata idadi kamili ya hao wanafunzi

kisha sisi watu wa UK tunaweza kujiorganise tuwatumie michnago yetu

Kama waliopo huko Europe wakifanya michango hewala

Watu wa States najua mko bize kujiandaa na hiyo pati ya Columbus lakini hii ni immediate issue

Yakubu hebu angalia tunaweza kufanya nini...hebu liase na Mwana kijiji

Haiwezekani waTZ wenzetu wawe na hali walionayo na sisihuku matumbo yamejaa, kama serikali haiwezi kufanya kitu basi hata sisi tushindwe?

Mlio na Contacts za NGO za Kimataifa whatever ..fanyeni mipango jamaa tuwasaidie

Mimi nitaangalia mambo ya legality na mengineyo madogo madogo

time is running out na mnajua kuna dada zetu kule vile vile

MODS: hebu ifanyeni sticky lakini walau mpaka Jumamosi tuwe na tushapata solution
Maana naona serikali nhaina interest ya kuwasaidia na kama wanayo interest basi wawakilishi wa serikali yaani MABALOZI na WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE pamoja na WIZARA YA ELIMU ya juu hazina mipango ya kuwasaidia hawa wanafunz ambao wamefikia HATUA YA KUOMBA UKIMBIZI UBALOZI WA UINGEREZA HUKO URUSI

hii ni aibu kwetu wote na huu si muda wa kutafuta lawama bali ni tuwasitiri wenzetu hawa kwani aibu yao ndio aibu yetu

na naombaParty politics tuziweke pembeni ...
 
Mpango wa kwanza umefeli (kwa muda huu) kwani nimeshindwa kuorganize hiyo NGO hapa Marekani (viongozi hawakuweza kupatikana kujadili - nitajaribu tena. Hata hivyo nina miadi ya kuzungumza na Ubalozi wa Uingereza Ukraine kesho (ijumaa). HIyo ni njia ya pili.. so please check up with me all day as I get new information, I'll let you know. Kwa namna fulani, I'm a little bit frustrated...
 
vijana wameamka nje ya ofisi za Ubalozi... kadhaa wana mafua kutokana na baridi... serikali kimya!! vyombo vya habari kimya! vyombo vya kijamii kimya!
 
Haya mambo Vipi ndo kusema hata kati yetu wana JF hamna waandishi?Mbona mambo ya kipuuzi puuzi mnayatoa humu kuyapeleka kwenye magazeti yenu?

Mwkjj,

Mnyika alitoa wazo la kuanzisha TV au Gazeti,nahisi kwa wakati huu lengeweza kufichua uwozo huu,Familia za hawa wana funzi wangeandama kushinikiza serikari
kuchukua hatua kuliko ilivyo sasa.
 
Tunahitaji kupata idadi kamili ya hao wanafunzi

kisha sisi watu wa UK tunaweza kujiorganise tuwatumie michnago yetu

Kama waliopo huko Europe wakifanya michango hewala

Watu wa States najua mko bize kujiandaa na hiyo pati ya Columbus lakini hii ni immediate issue

Yakubu hebu angalia tunaweza kufanya nini...hebu liase na Mwana kijiji

Haiwezekani waTZ wenzetu wawe na hali walionayo na sisihuku matumbo yamejaa, kama serikali haiwezi kufanya kitu basi hata sisi tushindwe?

Mlio na Contacts za NGO za Kimataifa whatever ..fanyeni mipango jamaa tuwasaidie

Mimi nitaangalia mambo ya legality na mengineyo madogo madogo

time is running out na mnajua kuna dada zetu kule vile vile

MODS: hebu ifanyeni sticky lakini walau mpaka Jumamosi tuwe na tushapata solution
Maana naona serikali nhaina interest ya kuwasaidia na kama wanayo interest basi wawakilishi wa serikali yaani MABALOZI na WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE pamoja na WIZARA YA ELIMU ya juu hazina mipango ya kuwasaidia hawa wanafunz ambao wamefikia HATUA YA KUOMBA UKIMBIZI UBALOZI WA UINGEREZA HUKO URUSI

hii ni aibu kwetu wote na huu si muda wa kutafuta lawama bali ni tuwasitiri wenzetu hawa kwani aibu yao ndio aibu yetu

na naombaParty politics tuziweke pembeni ...

DrWHO,

Nimekusoma mtu mzima(just a swahili Slang)

Kama tunaweza kupata watu kama nyinyi wengi kidogo nina imani Tz iko siku tutafika.
 
kama ccm wakikaa kimya wajamaa tufanye mpango wa kuwachangia hawa wabongo wasiadhirike huko ugenini wana JF...najua uwezo watu wanao maana hawa ccm noma sana...inatia uchungu bana...dah

TUpo pamoja!
Endelezeni mshikamano tulioko huku nyumbani tupo nyuma yenu
 
Mimi sielewi kitu kimoja hivi hawa jamaa si tulielezwa wanaenda kujisalimisha ubalozi wa uingereza na Balozi wa uingereza alikubali na picha ya balozi tukaekewa hapa kwenye Breaking News,Sasa ni vipi tena tuje na wazo la michango kwasasa wakati strategy ilikuwa kujisalimisha au?
 
Ndio maana nikatoa suggestion kuwa MKJJ an YAKUBU walifuatilie then tujue cha kufanya, naomba radhi kuwa hilola kusema michango linaweza likawa n mapemna mno lakini haiondoi ukweli kuwa hawa jamaa inawezekana wakawa na hali mbaya

Yakubu kama mwandishi anaweza kufuatilia kupitia FCO hapa UK na kujua kama ni kweli jamaa wamepewa hifadhi ya kikimbizi

ili hali Mwana kijiji anaweza kufuatilia through hizo contacts zake akajua hali ikoje on the ground

Na swali lingine hivi hamna contacts za waTZ waliopo hata Moscow ambao wanaweza kutoa data? je kiongozi wahawa wanafunzi ni nani na je hawana hata Blogs au websites ambazo zinaweza zikawa source ya info?

Inawezekana ikawa hata hiyo internet hawana access nayo lakini je ni nani anajua HALI HALISI on the ground huko?
 
Do we still have a Government in Dar Es Salaam?
 
Labda watu mlio katika nchi zilizoendelea tusaidieni maana sheria katika nchi yetu iko chini

hivi katika hali kama hii kweli hakuna sheria inayoweza kuwasaidia hawa vijana kuipeleka serikali ya Tanzania mahakamani kudai fidia.

nafikiri kabla ya kwenda Ukraine walisaini fomu fulani ambazo ni mikataba na sasa serikali imekiuka mikataba hiyo

wanasheria mnasemaje?
 
nafikiri hawa jamaa wangejisajili hapa ili kutupa kinanchoendelea, na kuwa karibu zaidi na watanzania wenzao
 
Hawa wasanii inawezekana wako likizo, swala ni je, wanafahamu wajibu wao na dhamana waliyopewa?
 
Kiev: Wanafunzi bado wapo Ubalozini hawaendi popote na wako tayari kukaa hapo weekend nzima. Kwa mujibu wa Afisa wa ngazi za juu za ubalozi huo niliyezungumza naye, wao hawana matatizo na vijana kuwa hapo kwani wameomba hiyo hifadhi.

Dar-es-Salaam: Ubalozi wa Uingereza Ukraine umekuwa na mawasiliano na Ubalozi wao Tanzania ambao kutwa nzima ya leo wamekuwa wakiwasiliana na viongozi wa serikali ya Tanzania kwani hili la wanafunzi kupiga kambi ubalozini limeishtua serikali.

Michango:

Kuna mtu ameshauri kutumia paypal account ya KLH News, hata hivyo nimecheki na Paypal inahitaji niwe na account nao angalau siku 60 kabla hatujaweza kutoa fedha kwenye account hiyo, na hadi leo tuna siku 51!!

Kwa ushauri wa Afisa huyo njia pekee ya kuwafikishia misaada vijana hao kwa haraka ni kupitia Western Union. Nimezungumza na vijana wote na wao wamekubali kutumia jina la mtu mmoja. Ninachotaka kufanya ni kutumia mtindo wa collective check and balance.

: Jina analotumiwa ni la mmoja
: Swali la usalama (anapewa mwingine)
: Jibu anapewa mwingine
: Wale wanaotaka kutuma wawasiliane na mimi nitawapa jina, swali na jibu. Wakishatuma waconfirm na mimi. Na mimi sitawaambia Kiev zilizotumwa hadi baadaye jioni ya leo au kesho asubuhi (nikijumlisha).

I'm open for any other suggestions, lakini tusipoteze muda kukosoa tu tuje na suluhisho linalowezekana kwani kule ni jioni ni giza linaingia...
Hivyo wanafunzi angalau watatu wanashiriki katika kuzichukua fedha hizo: That is the best I can come up with right now.
 
inanikumbusha miaka ile ...... India $50 kwa kila baada ya miezi mitatu (mkopo kutoka ubalozini,)
mpango endelevu pia unatakiwa kwa ajili ya matatizo kama haya.
 
Back
Top Bottom