Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.
Dk. Stella Bitanyi Amesema kuwa , mnyama huyo ni kama wanyama wengine hivyo akitunzwa na kuandaliwa vizuri hana madhara lakini kama hatatunzwa vuzuri ni kweli anawadudu wenye madhara.
Dk. Stella Bitanyi Amesema kuwa , mnyama huyo ni kama wanyama wengine hivyo akitunzwa na kuandaliwa vizuri hana madhara lakini kama hatatunzwa vuzuri ni kweli anawadudu wenye madhara.