Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.

Dk.Stella Bitanyi Amesema kuwa , mnyama huyo ni kama wanyama wengine hivyo akitunzwa na kuandaliwa vizuri hana madhara lakini kama hatatunzwa vuzuri ni kweli anawadudu wenye madhara.



View attachment 2393812
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
hahahahaha(lakinikama isipotunzwa vizuri nikweliina wadudu wenye madhara)kitimoto niharamu nainatia mashaka mtuanaekula kitimoto mbelezamungu nimchafu
Na anaenyonya uchi wa mwanamke lakini hali kitimoto?
 
giphy.gif
Daah mamaee ngoja nikakumje 4 mapemaa
 
Takbir takbir takbir wote tuseme asalamalekooo mhudum ikuye kitimoto choma na bia moya baridii
 
Daah astaghaafalaaah [emoji39]
Wote Mmelaaniwa na mnyaaazi [emoji18]
Kama hauli ni imani yako tu lakini usiwe msemaji wa Mungu[emoji23][emoji23] you should realize that God can curse his own likeness
 
Leo nmetoka kumla bla yan hata wasemeje i am in lov wit noah na ctaacga
 
Upate supu yake ya utumbo na chapati dah[emoji1]
 
Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto).

...lakini kama hatatunzwa vizuri ni kweli anawadudu wenye madhara.

Mwenye akili na asome paragraph ya pili, maana hiyo ndio iliyobeba taarifa yote...

Ingependeza kama title ya uzi iwe "Walaji nguruwe chukueni tahadhari"
 
Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!!

Nipe order yako mapema nikuletee
Kilo 1 tsh 11,000 tu!! Free delivery nakuletea Hadi barabarani!
Fanya kutupigia ujirambe aisee! Hii kitu Ni utamu uliopitiliza!!
Call/Text 0682865155
 

Attachments

  • raw-pork-GettyImages-1136782590-1.jpg
    raw-pork-GettyImages-1136782590-1.jpg
    288 KB · Views: 2
Hofu ipi inayozungumziwa? Toka nimeanza kula sijawahi kuwa na hofu na mbuzi katoliki pamoja na kupigwa vita kila siku. Yan hata wasemaje hawawezi kunishawishi niache kula.
 
Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.

Dk. Stella Bitanyi Amesema kuwa , mnyama huyo ni kama wanyama wengine hivyo akitunzwa na kuandaliwa vizuri hana madhara lakini kama hatatunzwa vuzuri ni kweli anawadudu wenye madhara.

View attachment 2393812

Imeeleweka hiyo unafikiri hawajui au ubishi tuu
IMG_1295.jpg

Ila huyo dokita nampongeza na kama angekuwa jina fulani sidhani kama jibu angetoa hilo
 
Kwa niaba ya walaji wote wa mdudu huyu kharamu ila mtamu nathubutu kusema "Tunaishukuru sana serikali ya awamu ya sita kwa kulitazama na hili"
 
Back
Top Bottom