Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.

Dk. Stella Bitanyi Amesema kuwa , mnyama huyo ni kama wanyama wengine hivyo akitunzwa na kuandaliwa vizuri hana madhara lakini kama hatatunzwa vuzuri ni kweli anawadudu wenye madhara.

View attachment 2393812
Angalau leo mnyama katetewa..!!
 
Mwislamu yupo tayari kupata dhambi ya kuua lkn sio dhambi ya kula kitimoto
 
IMG_0590.jpg

vita kwa huyu mdudu ni vita ngumu,picha linaanza mdudu mnene pamoja na kuchukiwa na kundi zima la watu.
 
Back
Top Bottom