Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

Napenda kitimoto nyama kama nyama na ngozi ,ila ile mifuta yake chini ya ngozi naitoa siipendi.
 
hahahahaha(lakinikama isipotunzwa vizuri nikweliina wadudu wenye madhara)kitimoto niharamu nainatia mashaka mtuanaekula kitimoto mbelezamungu nimchafu
Mbele ya mungu gani mana kila jamii ina mungu wake..ukiwa unasema mungu uwe unataja munu wa watu gani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo hofu mbona sikuwa nayo, tunashukuru kwa kututhitishia kuwa kitimoto ni kizuri
Screenshot_20221021-200959.jpg
 
Walaji wengi usiku wanachanganyiwa na makorodani ya nguruwe na hawajui sababu kwanza wanakula gizani......,.nicheme nichicheme
 
Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.

Dk.Stella Bitanyi Amesema kuwa , mnyama huyo ni kama wanyama wengine hivyo akitunzwa na kuandaliwa vizuri hana madhara lakini kama hatatunzwa vuzuri ni kweli anawadudu wenye madhara.



View attachment 2393812
Wee jamaa unatutoa mate tuu,ungejua Ela zmekata na kesho weekend 😋😋
 
Back
Top Bottom