Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
mteta mada hajakosea, mods wasiungezeeni neno 😀Mteta mada umekosa ethics za kuleta Habari
@Mods ungezeeni neno Kenya kwenye Heading
mteta mada hajakosea, mods wasiungezeeni neno 😀Mteta mada umekosa ethics za kuleta Habari
@Mods ungezeeni neno Kenya kwenye Heading
Mteta mada umekosa ethics za kuleta Habari
@Mods ungezeeni neno Kenya kwenye Heading
HahahahaSoma kwanza uelewe, haraka ya nini kupongeza CCM? CCM na mambo ya Kenya wapi na wapi wewe kumbe CCM inaongoza hadi Kenya
Amekosea sana, hata kama ni click baits (wastaarabu hilo hatupendi) na mtoa habari mzuri Heading tu inatoa picha ya kitu kizima, Dunia ya leo ya Tik Tok na quantity ya content ni vema kuheshimu muda wa watu kutokusoma magazeti (wala usitegemee kila mtu anasoma kila kitu)mteta mada hajakosea, mods wasiungezeeni neno 😀
Muda wa kusoma habari zote dunia ya leo ya Information at your fingertips utautoa wapi ?!!!Jamii Forume / Jamii Africa hivyo inatakiwa wasomaji kusoma bandiko zima, limekamilika kwa kuweka W5 + H zote katika habari, na hakuna mkanganyiko.
pili pili zii shambani zatuwashaje ?Ni vzuri,kwa mara ya kwanza serikali ya ccm inafanya jambo lenye tija
mkuu tumia google keyboard(Gboard) inapatikana playstore, naona typing errors nyingi, zima autocorrectAmekosea sana, hata kama ni click baits (wastaarabu hilo hatupendi) na mtoa habari mzuri Heading tu inatoa picha ya kitu kizima, Dunia ya leo ya Tik Tok na quantity ya content ni vema kuheshimu muda wa watu kutokusoma magazeti (wala usitegemee kila mtu anatoma kila kitu)
Amekosea sana, hata kama ni click baits (wastaarabu hilo hatupendi) na mtoa habari mzuri Heading tu inatoa picha ya kitu kizima, Dunia ya leo ya Tik Tok na quantity ya content ni vema kuheshimu muda wa watu kutokusoma magazeti (wala usitegemee kila mtu anatoma kila kitu)
mkuu tumia google keyboard(Gboard) inapatikana playstore, naona typing errors nyingi, zima autocorrect
Watanzania wengi ni wajingaHabari ya Kenya hii.
Na ndio ujumbe na maudhui ya habari yenyeweMkuu habari imekamilika, ukiisoma yote huwezi kupata taharuki bali utanufaifa pakubwa kujua gonjwa hili la Betting, michezo ya kubahatisha, matumizi ya celebrity kuwaingiza watu ktk uraibu wa mikeka n.k
Uzi umekamilika vilivyo, utafiti wa tatizo hili la uraibu limeelezwa kwa kina.
Au ufutwe kabisaMteta mada umekosa ethics za kuleta Habari
@Mods ungezeeni neno Kenya kwenye Heading
Kwani Kuna sehemu michezo imesitishwa?Tumuelewa,Itakuwa ni mmoja wa walioathirika na uraibu, anaandika kwa kutetemeka michezo kusitishwa.
ahaha 😀Tumuelewa,Itakuwa ni mmoja wa walioathirika na uraibu, anaandika kwa kutetemeka michezo kusitishwa.
Habari ya Kenya hii.
Kwa hiyo hii habari ni ya Kenya!Baraza la Vyombo vya Habari Kenya pia limetakiwa kukamilisha na kutekeleza mwongozo mpya wa kuhakikisha matangazo ya kamari yanadhibitiwa ipasavyo katika vyombo vya habari