- Thread starter
- #61
Wamenikamata leo
Tatzo nyuz nying za humu hurudia rudia maneno kwahyo ukisoma aya ya kwanza unaelewa kila kitu ila leo nmechemka
Ni uandishi wa viwago W5 + H
Wamenikamata leo
Tatzo nyuz nying za humu hurudia rudia maneno kwahyo ukisoma aya ya kwanza unaelewa kila kitu ila leo nmechemka
Wazuie Watoto 🔞 kucheza kamari.Hongera sana Serikali, kwa hili mmepatia
Tanzania, (CCM), wametengeza kizazi cha kamali badala ya kizazi cha kubuni miladi endelevu, kwasasa watu wakitaka kufanya jambo anajipanga kucheza kamaliSERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Aprili 29, Mwenyekiti wa BCLB, Dkt Jane Mwikali, alithibitisha kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa mara moja na itadumu kwa muda wa siku 30.
Kulingana na bodi hiyo, marufuku hiyo inawahusu waendeshaji wote wa kamari waliopewa leseni na shughuli zote za utangazaji wa kamari kupitia televisheni, redio, mitandao ya kijamii, magazeti, mabango ya barabarani, magari, SMS, kampeni kupitia barua pepe, arifa za simu na ushawishi kupita watu maarufu, na wanamitindo mtandaoni.
“Kutokana na hali hii, na kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB) inaagiza kusitishwa mara moja kwa matangazo yote ya kamari na shughuli zinazohusiana na kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari kwa kipindi cha siku thelathini (30) kuanzia tarehe ya taarifa hii,” ilieleza taarifa hiyo.
Bodi hiyo ilieleza kuwa inahofia sana kuongezeka kwa matangazo ya kamari katika kipindi cha kuanzia saa kumi na moja asubuhi hadi saa nne usiku, hali inayowaweka watoto na watu walio hatarini katika hatari ya kuathiriwa na uraibu wa kamari.
Shughuli hizo ni pamoja na kubashiri, michezo ya kubahatisha, bahati nasibu, mashindano ya zawadi na shughuli zote za kuhamasisha zinazohusiana na biashara hiyo.
Katika kipindi hiki cha marufuku, waendeshaji na watoaji huduma za kamari watalazimika kuwasilisha mipango ya tathmini na utekelezaji wa hatua madhubuti za kuhakikisha kamari inachezwa kwa uwajibikaji, kwa mujibu wa masharti ya leseni yaliyotolewa na BCLB.
“Wakati wa marufuku hii, waendeshaji wote wa kamari wenye leseni wanapaswa kuhakikisha wanazingatia kikamilifu sheria na kanuni zote zinazohusu kamari na utangazaji wake nchini Kenya,” iliongeza.
Aidha, BCLB ilitangaza kuwa kikosi kazi cha mashirika mbalimbali kimeundwa, kikihusisha wizara ya Usalama wa Ndani, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Kenya, Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru Kenya, Idara ya Upelelezi wa Jinai, Bodi ya Ukaguzi wa Filamu, Baraza la Vyombo vya Habari Kenya, Kituo cha Kuripoti Fedha na BCLB. Kikosi hicho kimepewa jukumu la kuunda sera na
Baraza la Vyombo vya Habari Kenya pia limetakiwa kukamilisha na kutekeleza mwongozo mpya wa kuhakikisha matangazo ya kamari yanadhibitiwa ipasavyo katika vyombo vya habari na wananchi kuripoti shughuli zozote haramu za kamari kwa BCLB au kituo cha polisi kilicho karibu.
Mkuu nawa maji usoniNi vzuri,kwa mara ya kwanza serikali ya ccm inafanya jambo lenye tija
Wafute moja kwa moja ujinga huu.Watu hawafanyi kazi wanashinda kucheza kamari tu.SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Aprili 29, Mwenyekiti wa BCLB, Dkt Jane Mwikali, alithibitisha kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa mara moja na itadumu kwa muda wa siku 30.
Kulingana na bodi hiyo, marufuku hiyo inawahusu waendeshaji wote wa kamari waliopewa leseni na shughuli zote za utangazaji wa kamari kupitia televisheni, redio, mitandao ya kijamii, magazeti, mabango ya barabarani, magari, SMS, kampeni kupitia barua pepe, arifa za simu na ushawishi kupita watu maarufu, na wanamitindo mtandaoni.
“Kutokana na hali hii, na kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB) inaagiza kusitishwa mara moja kwa matangazo yote ya kamari na shughuli zinazohusiana na kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari kwa kipindi cha siku thelathini (30) kuanzia tarehe ya taarifa hii,” ilieleza taarifa hiyo.
Bodi hiyo ilieleza kuwa inahofia sana kuongezeka kwa matangazo ya kamari katika kipindi cha kuanzia saa kumi na moja asubuhi hadi saa nne usiku, hali inayowaweka watoto na watu walio hatarini katika hatari ya kuathiriwa na uraibu wa kamari.
Shughuli hizo ni pamoja na kubashiri, michezo ya kubahatisha, bahati nasibu, mashindano ya zawadi na shughuli zote za kuhamasisha zinazohusiana na biashara hiyo.
Katika kipindi hiki cha marufuku, waendeshaji na watoaji huduma za kamari watalazimika kuwasilisha mipango ya tathmini na utekelezaji wa hatua madhubuti za kuhakikisha kamari inachezwa kwa uwajibikaji, kwa mujibu wa masharti ya leseni yaliyotolewa na BCLB.
“Wakati wa marufuku hii, waendeshaji wote wa kamari wenye leseni wanapaswa kuhakikisha wanazingatia kikamilifu sheria na kanuni zote zinazohusu kamari na utangazaji wake nchini Kenya,” iliongeza.
Aidha, BCLB ilitangaza kuwa kikosi kazi cha mashirika mbalimbali kimeundwa, kikihusisha wizara ya Usalama wa Ndani, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Kenya, Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru Kenya, Idara ya Upelelezi wa Jinai, Bodi ya Ukaguzi wa Filamu, Baraza la Vyombo vya Habari Kenya, Kituo cha Kuripoti Fedha na BCLB. Kikosi hicho kimepewa jukumu la kuunda sera na
Baraza la Vyombo vya Habari Kenya pia limetakiwa kukamilisha na kutekeleza mwongozo mpya wa kuhakikisha matangazo ya kamari yanadhibitiwa ipasavyo katika vyombo vya habari na wananchi kuripoti shughuli zozote haramu za kamari kwa BCLB au kituo cha polisi kilicho karibu.
Wafanyakazi wao Hawana tofautu na Utapeli wa kunua Mafuta ya upako na chumviBetting haiwezi kuwa AJIRA, labda kwa wafanyakazi wa betting companies.
Tuongelee Ajira.Wafanyakazi wao Hawana tofautu na Utapeli wa kunua Mafuta ya upako na chumvi
Mngepiga marufuku na madubu ya wachina yale ndio nuksi kabisa..SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Aprili 29, Mwenyekiti wa BCLB, Dkt Jane Mwikali, alithibitisha kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa mara moja na itadumu kwa muda wa siku 30.
Kulingana na bodi hiyo, marufuku hiyo inawahusu waendeshaji wote wa kamari waliopewa leseni na shughuli zote za utangazaji wa kamari kupitia televisheni, redio, mitandao ya kijamii, magazeti, mabango ya barabarani, magari, SMS, kampeni kupitia barua pepe, arifa za simu na ushawishi kupita watu maarufu, na wanamitindo mtandaoni.
“Kutokana na hali hii, na kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB) inaagiza kusitishwa mara moja kwa matangazo yote ya kamari na shughuli zinazohusiana na kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari kwa kipindi cha siku thelathini (30) kuanzia tarehe ya taarifa hii,” ilieleza taarifa hiyo.
Bodi hiyo ilieleza kuwa inahofia sana kuongezeka kwa matangazo ya kamari katika kipindi cha kuanzia saa kumi na moja asubuhi hadi saa nne usiku, hali inayowaweka watoto na watu walio hatarini katika hatari ya kuathiriwa na uraibu wa kamari.
Shughuli hizo ni pamoja na kubashiri, michezo ya kubahatisha, bahati nasibu, mashindano ya zawadi na shughuli zote za kuhamasisha zinazohusiana na biashara hiyo.
Katika kipindi hiki cha marufuku, waendeshaji na watoaji huduma za kamari watalazimika kuwasilisha mipango ya tathmini na utekelezaji wa hatua madhubuti za kuhakikisha kamari inachezwa kwa uwajibikaji, kwa mujibu wa masharti ya leseni yaliyotolewa na BCLB.
“Wakati wa marufuku hii, waendeshaji wote wa kamari wenye leseni wanapaswa kuhakikisha wanazingatia kikamilifu sheria na kanuni zote zinazohusu kamari na utangazaji wake nchini Kenya,” iliongeza.
Aidha, BCLB ilitangaza kuwa kikosi kazi cha mashirika mbalimbali kimeundwa, kikihusisha wizara ya Usalama wa Ndani, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Kenya, Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru Kenya, Idara ya Upelelezi wa Jinai, Bodi ya Ukaguzi wa Filamu, Baraza la Vyombo vya Habari Kenya, Kituo cha Kuripoti Fedha na BCLB. Kikosi hicho kimepewa jukumu la kuunda sera na
Baraza la Vyombo vya Habari Kenya pia limetakiwa kukamilisha na kutekeleza mwongozo mpya wa kuhakikisha matangazo ya kamari yanadhibitiwa ipasavyo katika vyombo vya habari na wananchi kuripoti shughuli zozote haramu za kamari kwa BCLB au kituo cha polisi kilicho karibu.
Kenya 🇰🇪 kuna Serikali ya CCM ?Ni vzuri,kwa mara ya kwanza serikali ya ccm inafanya jambo lenye tija
Sijaelewa mantiki ya zuio kuwa siku 30 tu! Baada ya siku 30 madhara yataisha?Wasomaji wa
vichwa vya habari
Rudia kusoma utaelewa waliokusudiwa kufikishiwa ujumbeSijaelewa mantiki ya zuio kuwa siku 30 tu! Baada ya siku 30 madhara yataisha?
I know ni Kenyans, but hawajaeleza sababu ya siku 30 tu au wanafanya tathmini gani baada ya hizo siku 30Rudia kusoma utaelewa waliokusudiwa kufikishiwa ujumbe